Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
cpendi white hawaonekane kuwa ma handsome kwahyo napenda black nikiona mweupe ctaki mazoea colour hyo hainivutii kabisa
Yani hata wakivaa nguo hawapendezi kabisaaaa
cpendi white hawaonekane kuwa ma handsome kwahyo napenda black nikiona mweupe ctaki mazoea colour hyo hainivutii kabisa
Embu andika tena alaf toa izo nukta mbil il isomeke vzr...
Lakini ni personal preferences. Ila binafsi nimesikia kama watano hivi
Haha..muanze kuwagomea maana wanawagaragaza umu....
#Team_wanaume_weupe tulete mgoma tumechoka kusemwa humu.!
Black ndo
kila kitu.......[/QUOTE
Nahisi kama nakuona jinsi ulivyo
Uo uo mkuu...