Ndio mana nikasema kwenye mitandao hua wanaongea sana ila reality ni vice versa.
Wasalaam wana mmu...
Bas wadau mi msichana akiwa mweupe loooh hoiii...hua nawaza kama uson au mikoni ni meupe kiac icho je panapofichwa!!!
Hii imeniathiri kiasi cha kunifanya niwe na list ya wadada weupee tuu ingawa i preffer natural si ya carolite...
Kwan we rang gan unakutoa pangon!..kwa ote me na ke
Mimi mwanamke ugonjwa wangu ni kuanzia Maji ya kunde-Mweupe, vyeusi mangala na sijui chokuleti color hapana kwakweli.Nachokiangalia kwa mwanamke kabla sijamuapproach ni vitu vitatu vya awali (Sura,Shape & Color)
Tehe tehe... obama ndo nn mkuu...
Hahah...shkamoo 0713
cpendi white hawaonekane kuwa ma handsome kwahyo napenda black nikiona mweupe ctaki mazoea colour hyo hainivutii kabisa
Hahaha, kwani mwanaume akiwa uchi anavutia?
Tehetehee wakiwa uchi wanavuta,,,,wewe ndo unavutia
Haha...shkamoo mkare