gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 639
- 818
Mkuu pole Sana aise mi Nilikuwa na vidonda vya tumbo vikali sana hadi nilifikiri nina cancer ya tumbo, Sasa Kuna dawa nilipewa kutoka Morogoro kwa sh 40 elfu tu nilielekezwa na mzee mmoja hapa yaani sisikii tena maumivu Niko vzr kabisa hii wiki ya pili Niko vzr.Kwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari
Ngoja nisubiri Kama mwezi hivi au miezi miliwili ili nione Kama nimepona kweli au vitarudi tena then nitakwambia ukachukue pia hiyo dawa usije kuta ninepigwa nawewe ukapigwa pia.