Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Asante boss, nimepokea dawa imenifikia leo, nitaanza itumia Jumamosi (kwa sababu zangu mwenyewe kiofisi, japo ningependa kuanza leo, thereafter nitarudisha mrejesho hapa ndani ya siku 5 hali yangu iko vipi.

Shukran sana Bob laidoo alinitumia dawa kwa basi hadi Dar. Mimi gharama niliyoingia ni ya usafiri peke yake. Dawa kanisaidia bure.

Asante mkuu.
Ndo kama hivi inavoonekana dawa
IMG-20220316-WA0008.jpg
 
Asante boss, nimepokea dawa imenifikia leo, nitaanza itumia Jumamosi (kwa sababu zangu mwenyewe kiofisi, japo ningependa kuanza leo, thereafter nitarudisha mrejesho hapa ndani ya siku 5 hali yangu iko vipi.

Shukran sana Bob laidoo alinitumia dawa kwa basi hadi Dar. Mimi gharama niliyoingia ni ya usafiri peke yake. Dawa kanisaidia bure.

Asante mkuu.
Ok, shukran kwa mrejesho so far

huwa tunatekeleza tunachoahidi

zingatia maelekezo ya dawa kama nilivokueleleza

ol da best on your way !
 
Maendeleo vipi ebu nambie kaka
Maendeleo niko vyema...nimeanza itumia Jumamosi, ila hadi sahivi nazidi kuona mabadiliko kwa kweli. Sahivi kwanza tumbo halipati gas, zamani baada tu ya kula nlikua natakiwa nibeue kwanza or else tumbo litakua na gas balaa. Ila sahv hata bila kubeua, naweza nikala na kwenda kulala and nikawa fine kabisa. Vile vile pia sipati maumivu ya tumbo completely kabisa yani. Hadi kuja kuimalizia hio kesho i hope nitakua completely fine aisee.
Inaleta mabadiliko sana hii dawa, asante mkuu!
 
@ upeo
 
huyu jamaa naiman ashamaliza kutumia dawa, coz ndo alikua mtu wa kwanza kat ya wale wawili waliopata nasaf ya upendeleo !!

Mzee wa Tit4tat watu wanasubiria feedback uku Mkuu
Yap mkuu nipo sema harakati kibao hivyo nikashindwa kuleta mrejesho kwa Muda muafaka.

Ila tu kwa ufupi tangia siku ya kwanza kutumia nikaona tofauti na hadi sasa shida ya vidonda vya tumbo siisikii maana pia nilikuwa na hofu nikidhani labda dawa imetuliza tu kwa muda na vinaeza kufumuka muda wowote tena Lakini hadi sasa napiga kila chakula kuanzia maharagwe, kauzu ndizi mbivu, wali, maziwa ya mgando na vingine vyote ambavyo hapo awali nilikuwa situmii coz vilikuwa vikinidhuru.

Niseme tu shukrani sana Bob laidoo kwa kunisaidia dawa tena free wala sijainunua Mungu akubariki sana tena sanaaa mkuu kwa hiki alichokifanya kwa ajili yangu na kwa wengine

Maana nimesumbuka sana kwa miaka mingi takribani miaka 6 na nimetuma dawa kibao ila sijawahi kupona zaidi zaidi tu kutuliza maumivu.

Kwa wale ambao bado hawamini kuhusu hii dawa ya huyu bwana mkubwa nawaambia wasiwe nashaka japo hata mm nilikuwa siamini kabla sijatumia, na hii yote ni kutokana na watu tofauti tofauti kuniaminisha dawa fulani inaponya ila haziijawahi kunisaidia.

Na kama pia kuna mtu anadhani Jamaa ni tapeli au mwongo nasema hapana jamaa ni mtu safi sana na anajiamini ndio maana anakupatia dawa bure na anakuambia tumia kwa muda huo wa siku 4 kisha nenda kapime hospitali ili uone kama shida ipo au haipo hii ni moja ya sababu ya mm kumuamini yy.

Bob laidoo ww ndiye umethibitisha ule msemo wa hakuna kinachoshindikana chini ya jua

Kiukweli nilisha kata tamaa ya hivi vidonda coz wengi waliniaminisha ukivipata umepata na huwezi pona zaidi ya kuvitulia tu.

Kumbe kuna mambo tunayakweza tu na kuyapaisha kwa kuona hayatibiki kisa yametutesa kwa muda mrefu.

Hebu fikiria miaka 6 ndani ya mateso ukiangaika huku na kule bila solution halafu anatokea mtu anakutibu ndani ya siku nne..
 
Big up sn Mzee wa Tit 4 tat naona umerud kweny ubora wako sasa

Shukran kwa mrejesho pia umesokeka kwa nguvu ya tano Mkuu !!

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
huyu jamaa naiman ashamaliza kutumia dawa, coz ndo alikua mtu wa kwanza kat ya wale wawili waliopata nasaf ya upendeleo !!

Mzee wa Tit4tat watu wanasubiria feedback uku Mkuu
Mkuu...mm niko Mwanza unanisaidiaje hiyo tiba?
 
Mwenye hiyo dawa anapatikana mkoa gani? Je unauza bei gani? Isijekuwa ni kikundi cha watu wamejipanga watupapeli maana watu wenye vidonda ni wengi. Au ni mtu mmoja ana id tofauti tofauti.
 
Hapa hakuna kikundi cha matepeli wa kikundi cha maombi au mtu mmoja na ID tofauti.

Kati ya vitu nachukia duniani cha kwanza ni umasikini na cha pili matapeli coz nishapigwa changa kibao.

Ndio sababu nasema hapa hakuna tapeli ni uhakika 100% dawa ya huyo raia inaponya sio tu kusaidia

Kama mm ndiye ningekuwa na hiyo dawa ningekusaidia bure ili ujionee

Sidhani kwa sasa kama bado anatoa offer maana alisema anahitaji watu wawili mm nikawa mmoja wapo kati ya waliopata offer ila ongeanae anaezakukuelewa.
 
Mwenye hiyo dawa anapatikana mkoa gani? Je unauza bei gani? Isijekuwa ni kikundi cha watu wamejipanga watupapeli maana watu wenye vidonda ni wengi. Au ni mtu mmoja ana id tofauti tofauti.
Hahahaaaa, ebhn Masafi uko sahihi kuchukua tahadhari kabla ya hatari maana skuiz wapigaji wamejaa kila kona

Naishi Geita ila kwa sasa niko mwanza leo j5 mpk kesho

Bei: 50$ equivalent to tzs

Dozage: siku 4 tu

Imetengenezwa kwa:
Mchanganyiko wa mimea asili + asali

Formula: Vidonge

contacts: +243811176110
+255763031478

zote wasap, ukinikosa col ya kawaida kwa iyo namba ya bongo huwa nakua DRC napatkn mubashara kwenye iyo nyngn

karibun !

NOTE;

Back
Top Bottom