ugonjwa wa nguruwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ugonjwa wa nguruwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kagamba kadogo, May 8, 2011.

 1. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna taarifa kwamba african swine fever iko mujini. So people take care
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wewe umetumwa? toa vielelezo vyako au vyanzo vyako vya habari.
   
 3. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndo biashara yako nini kaka dada
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wakuu, mleta mada yuko right ila habari haijakaa vyema...

  sasa hivi watoto wengi sana wanaharisha na kutapika plus flu like symptoms

  si lazima kujibu kila kitu kama haikuhusu kaa kimya!!!

  @distazo... ficha upumbavu wako
   
 5. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ndio maana Muslims huyu mdudu hawamli..naKITABU CHAO KIMEKATAZA..
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mbona huwa wanakula ng'ombe wakati naye huwa anapata kichaa..?
   
 7. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  MTM unahitaji mwongozo, code of conduct.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kweli aisee

  Naomba Mwongozo, codes of conducts tafadhali
   
 9. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umemaanisha watoto au hiyo watiti ni kitu gani kama siyo.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i meant watoto
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Baada ya matusi tupe habari: inamaana wakati nguruwe wakipata ugonjwa huu watoto wetu nao wanapata flu na kutapika ovyo?!, tupe chanzo cha corelation hii otherwise wewe ni (pambafu)x2
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe ulipoingia humu ndani mara ya kwanza uliingilia mlango gani?, hujaona code of conduct ya jukwaa hili kwenye mlango mkuu. Nakushauri urudi U-turn kisha ubishe hodi utaelekezwa nidhamu ya jukwaa hili.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwani ugonjwa huo unaathiri binadamu pia?
   
 14. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni ugonjwa kwa nguruwe, au ugonjwa wa kupenda (addiction) nguruwe, ugonjwa uletwao na nguruwe au nini?
   
 15. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  African swine fever ni ugonjwa wa nguruwe, na wala hauambukizi binadamu kwa namna yoyote ile. concern kubwa kwa ugonjwa huu si za kiafya kwa binadamu bali ni hasara kubwa isababishwayo na ugonjwa huu kwa wafugaji. Kwani ugonjwa huu ukiingia shambani huambatana na vifo vingi kwa muda mfupi. So wasiwasi hapa ni may be kitimoto itapanda bei, lakini wala msiwe na hofu, tandika kitimoto kadri uwezavyo.
   
Loading...