Ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Mwakyembe ni ule ule alioupata hayati Mwalimu Nyerere

Mkuu Daudi Mchambuzi na wengine,
nimefuatilia maoni, kwa kweli mengi yanauchoma moyo!!
Hii nchi kwa muda sasa tumekuwa na viongozi ambao ni zaidi ya mafia group!!..
Lakini Wabongo tume-relax tuu!!
On a serious note..hii nchi iko kwenye kiza kinene!!
 
Ushauri wangu, kwa kuwa tumeshafahamu aliyemuua mpendwa wetu mwalimu JKN. Basi tuanzishe maombi maalum ya kumlaani huyu muuwaji ili apatwe na mabalaa na yeye ateseke japo tukimuona hapa duniani. Mungu amlaani sana huyu muuwaji wa mpendwa wetu.
 
Kama wameweza kumuua Baba wa taifa basi wanaweza kumuua yeyote yule.
kamuua Mwalimu ili iwe rais kuwatesa watanzania kwa kuwanyonya kodi na kuwapokonya rasilimali zote kwa sera ya ubinafsishaji.
Damu ya mwalimu itawasumbua milele.
:A S-cry:


@Mchambuzi na Wanajamvi naomba niandike machache: Nilidhani nimeyaona ya Musa, nastaajabu ya Firauni.

Kweli hizi ndizo alama za nyakati.
 
Wajameni, yaani mtoa mada anataka kutueleza kwamba yule nanihii aliyekuwa daktari wa yule wa kwanza anayedaiwa kumnanihii hadi akafa ndiye huyo huyo alitumiwa na hawa watu wengine kumnanihii huyu mgonjwa wa pili ili naye afe?

Napata kizunguzungu.
 
Death is there, it doesnt depend on either your strengths or weaknesses. To die is your natural character. What matters is to avoid dying early.

In addition: Death is a natural part of life. Rejoice for those around you who transform into the Force. Mourn them do not. Miss them do not. Attachment leads to jealousy. The shadow of greed that is. Train yourself to let go of everything you fear to lose." -YODA
 
Mkapa alimdhalilisha Baba wa Taifa kwa kusema alikuwa na mkanda wa jeshi, tena alikuwa na ukimwi
 
Ama kweli ndo kwanza nafunguka macho mi nlijua mwalimu alikufa tu kama safari ya binadamu kumbe kuna mkono wa m2,haya,malipo hapa hapa duniani,
 
Hivi Mr Zero,Zero maana yake hamna kitu yaani Sifuri kabisa?

Hebu wacheni uzushi, mantiki ya kumuua Nyerere ni nini?
Au Mtanzania hawezi kufa naturally mpaka arogwe au apewe sumu?

Kupata leukemia kwa age aliyokuwa Nyerere siyo ngeni wala aibu.
 
Mkapa alimdhalilisha Baba wa Taifa kwa kusema alikuwa na mkanda wa jeshi, tena alikuwa na ukimwi

Alisema wapi huyo Mkapa, lete ushahidi siyo uzushi.
Mkanda wa jeshi mgonjwa wa leukemia anaweza kupata kutokana na kukosa immunity na siyo lazima iwe ukimwi.
 
Jamani jamani haya mambo ni mazito sana.....Kumuua mtu sio kitu kidogo jamani?Haiwezekani mtu akawa na moyo mgumu kupita wa shetani hadi akamuua mtu kama Mwalimu ili tu awaiibie watanzania vizuri..hii kitu haiingiii akilini..pengine wamnamsingizia huyo BWM.....
 
JF si mchezo ...

We, Mponoelo! Kweli? Mwenzenu sijaelewa hata kidogo. Mwanzo wa habari hii, nani anahisiwa,sababu za kuhisiwa, nani kafanya utafiti huu na kubaini haya! Napata kizungunzungu hata kuchanganyikiwa. Hebu wana JF. nisaidieni kabla sijasema chochote, maana kabla hujasema uwe msikilizaji makini. Tafadhalini mwenye taarifa za kiina na za uhakika.
 
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.


Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots 
habari za hivi punde ni kwamba Mwakyembe amefariki dunia.
 
Back
Top Bottom