Ugonjwa wa mnyauko kwenye mimea kama nyanya n.k

Kalimati

Senior Member
Feb 21, 2013
149
46
Je, unaijua ugonjwa hatarishi ujulikanao kama mnyauko unaosumbua zaidi mazao kama nyanya, hoho na kadhalika?
Kabla hujaanza kulima tunakushauri kwanza kupima udogo ili kujua kama Kuna ugonjwa
wowote
Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi Kwa kutumia namba zetu za simu 0683556677 au barua pepe info@kilimojoint.co.tz / kilimojoint@gmail.com pia usisahau kutufuatilia kuputia Instagram au Facebook KilimoJoint Kwa majibu ya haraka zaidi


a822ec89e6db621e014d78af753c04b1.jpg
 
Tumeazoea kuambiwa maabara zetu zina urasimu mkubwa. Je nyie mnachukua muda gani kutoa majibu ya udongo?
 
sisi hatupimi udogo tunatoa ushauri wa Kilimo na ufugaji samaki pamoja na usambazaji wa pembejeo hizo. vyao kama SUA ndio wanapima udogo Kwa utambuzi wa magonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom