๐—จ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,378
Reaction score
2,819
๐—จ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚

Karibu asilimia 52% ya Watumiaji wa simu za mkononi (smartphone + Simu za kawaida) Wameathilika na ugonjwa wa kupenda sana Simu. Najua wewe ni mmoja wapo ?

Najua akuna shaka miaka hii maisha bila kutumia Simu ni jambo gumu sana ila ukitumia sana Simu ni ugonjwa kama magonjwa mengine kupitia tovuti ya Addiction Tips

Leo nakuletea baadhi ya ishara ya kujijua kama una ugonjwa wa kupenda sana Simu !!

[emoji832] Kushika Simu yako masaa 24 /7
MTU mwenye ugonjwa wa kupenda Simu Huwa hawezi kuacha kushika Simu masaa mengi utamkuta ana Simu ameishika ata kama atumi ivyo ikiwa mbali TU ana wasiwasi.

[emoji832] MTU Kuwa na wasiwasi wa kuibiwa au kupoteza Simu Yani MTU anakua na wasiwasi kiasi ya kwamba simu yake ikiwa mbali tu wacha aanze kuitafuta tafuta kama kaibiwa.

[emoji832] Kuwa na tabia ya kutizama sana Simu Yako ukitaka kujua una ugonjwa wa kupenda Simu ni tabia ya kuitizama simu yako Kila mara Yani haipiti nusu saa we kutizama Simu Yako TU Kila mara.

[emoji832] kutumia Simu wakati wa kulala MTU ambaye ameathilika na kupenda Simu utamkuta hawezi kulala bila kuchezea Simu usingizi anautafuta kwa kutumia kuchezea Simu utamkuta anacheza game au jambo lolote mpaka anapitiwa na usingizi.

[emoji832]Kuwa na tabia ya kushika Simu akiamka TU subiri jamani sio kama unavyofikiria apa nazungumzia tabia ya kwamba ukiwa umeamka TU ujafanya jambo lolote unaanza kuchezea Simu Yako jua una ugonjwa.

[emoji832]unachukua Simu Yako mpaka chooni Yani MTU Yuko chooni anatumia Simu , bafuni anatumia Simu [emoji16]jua una ugonjwa wa kupenda sana Simu

[emoji832]unakuwa na wasiwasi unafikiri Simu Yako inaita au Ina vibrate hivyo unaanza kujigusa Gusa.

[emoji832] kuishika Simu mkononi kuliko kuweka kwenye begi au mfukoni kwako jua una ugonjwa wa kupenda sana Simu Yako.

Ebu tuachie maoni Yako vipi huu ugonjwa haujakukuta au lah tuambie tujue ?

Teknolojia ni Yetu sote [emoji110] View attachment 2216468View attachment 2216469View attachment 2216470
2_20220506_223832_0001.jpg
 
miaka ya nyuma kulikuwa na ugonjwa wankupenda kompyuta.leo simu kesho !
 
Ahsante kwa miongozo, mambo yao waachie wenyewe...
 
miaka ya nyuma kulikuwa na ugonjwa wankupenda kompyuta.leo simu kesho !
Tulianza magazeti. Tulikuwa tunasoma hata unatembea bararbarani unalo.

Lakini wazee wetu walipenda radio za mbao. Hata shambani waliitanguliza mbele wanalima wanasikiliza.

Kila zama na kitabu chake.

Leo hii wanaovaa saa wa kuhesabu
 
Waambie hao vijana wanaodhani maisha yameanza jana.
 
๐—จ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚

Karibu asilimia 52% ya Watumiaji wa simu za mkononi (smartphone + Simu za kawaida) Wameathilika na ugonjwa wa kupenda sana Simu. Najua wewe ni mmoja wapo ?

Najua akuna shaka miaka hii maisha bila kutumia Simu ni jambo gumu sana ila ukitumia sana Simu ni ugonjwa kama magonjwa mengine kupitia tovuti ya Addiction Tips

Leo nakuletea baadhi ya ishara ya kujijua kama una ugonjwa wa kupenda sana Simu !!

[emoji832] Kushika Simu yako masaa 24 /7
MTU mwenye ugonjwa wa kupenda Simu Huwa hawezi kuacha kushika Simu masaa mengi utamkuta ana Simu ameishika ata kama atumi ivyo ikiwa mbali TU ana wasiwasi.

[emoji832] MTU Kuwa na wasiwasi wa kuibiwa au kupoteza Simu Yani MTU anakua na wasiwasi kiasi ya kwamba simu yake ikiwa mbali tu wacha aanze kuitafuta tafuta kama kaibiwa.

[emoji832] Kuwa na tabia ya kutizama sana Simu Yako ukitaka kujua una ugonjwa wa kupenda Simu ni tabia ya kuitizama simu yako Kila mara Yani haipiti nusu saa we kutizama Simu Yako TU Kila mara.

[emoji832] kutumia Simu wakati wa kulala MTU ambaye ameathilika na kupenda Simu utamkuta hawezi kulala bila kuchezea Simu usingizi anautafuta kwa kutumia kuchezea Simu utamkuta anacheza game au jambo lolote mpaka anapitiwa na usingizi.

[emoji832]Kuwa na tabia ya kushika Simu akiamka TU subiri jamani sio kama unavyofikiria apa nazungumzia tabia ya kwamba ukiwa umeamka TU ujafanya jambo lolote unaanza kuchezea Simu Yako jua una ugonjwa.

[emoji832]unachukua Simu Yako mpaka chooni Yani MTU Yuko chooni anatumia Simu , bafuni anatumia Simu [emoji16]jua una ugonjwa wa kupenda sana Simu

[emoji832]unakuwa na wasiwasi unafikiri Simu Yako inaita au Ina vibrate hivyo unaanza kujigusa Gusa.

[emoji832] kuishika Simu mkononi kuliko kuweka kwenye begi au mfukoni kwako jua una ugonjwa wa kupenda sana Simu Yako.

Ebu tuachie maoni Yako vipi huu ugonjwa haujakukuta au lah tuambie tujue ?

Teknolojia ni Yetu sote [emoji110] View attachment 2216468View attachment 2216469View attachment 2216470View attachment 2216471
HUO UTAFITI UMEFANYIKA LINI? SAMPLE SPACE WAPI?
 
Back
Top Bottom