Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

Nakushauri MziziMkavu kuwa vitu vingine weka wazi ili wengi wanufaike navyo. Hapa watu wanatafuta tiba na hili jukwaa ni kusaidiana katika kupata suluhu. Sasa dawa inatumwa kwa email? Just mention kuwa dawa ni hii hapa basi!! Nahisi unai-missuse hii forum kwa kuifanya ni sehemu ya matangazo yako ya biashara.

Hope umenipata vizuri.

Dawa ya kifafa ninayo ukitaka wasiliana na mimi nitakupa kwa email yangu hii fewgoodman@hotmail.com
 
Reference: Kifafa http://kenya.thebeehive.org/content/124/3136

Kifafa

Kifafa ni nini?

Kifafa ni ugonjwa wa ubongo.

Ubongo wa binadamu una mabilioni ya seli za neva.Zinashirikiana na kila moja kupitia chaji ndogo ndogo za umeme ambazo huwaka na kuzima.Wakati baadhi ya ama hizi seli zote kwa ghafla huanza kuwaka kwa pamoja, wimbi la nguvu za umeme hupita kwenye ubongo na husababisha kifafa ama kuzirai.

Kuzirai kwa ghafla huathiri vile ubongo hufanya kazi.Kunaweza kumsababisha mtu kupata mabadiliko ya ghafla katika fahamu, mwendo ama hisia.

Mshtuko wa moyo mmoja haumanishi ya kwamba mtoto ana kifafa.Kuzirai mara moja kunaweza kutokea kwa sababu tofauti k.m homa, jeraha la kichwa, kiwango cha chini cha sukari katika damu na kadhalika.

Kifafa ni jina la kuzirai kwa ghafla kunapotokea zaidi ya mara moja bila ya sababu ya kutibiwa inayojulikana.

Katika sehemu hii jifundishe zaidi kuhusu huu

Ni nini ninachopaswa kufanya ikiwa mtu atashikwa na mshtuko wa kifafa?

Wakati mwingi, huduma ya kwanza ina maana ya kumfanya mtu awe salama wakati mshtuko wa kifafa unapotokea. Kwa bahati nzuri, mshtuko huwa mfupi na huisha baada ya dakika kadhaa.

Hatua ya kwanza katika kujitayarisha kwa ajili ya kifafa ni kufahamu kitu cha kufanya wakati ugonjwa huu unapotokea. Hii ni muhimu ikiwa unamchunga mgonjwa wa kifafa lakini pia kwa kila mtu. Ugonjwa wa kifafa unaweza kuanza katika umri wowote na kila mtu anahitaji kufahamu nini cha kufanya wakati mtu karibu nao anaathiriwa na kifafa.

Huduma ya Kwanza

  • Kuwa mtulivu na usiogope. Kifafa humuogopesha mtazamaji. Huchukua dakika chache na kwa kawaida huhitaji matibabu.Kumbuka ya kwamba mtu aliyeshikwa na kifafa huwa hafamu vitendo vyake na anaweza au asiweze kukusikia.
  • Walinde dhidi ya majeraha wakati wanaposhikwa na kifafa.Ikiwa inahitajika mweke chini kwa njia iliyo taratibu.
  • Sogeza vitu vigumu, vitu vyenye ncha kali na vilivyo moto na linda kichwa na mwili wa mgonjwa dhidi ya jeraha.
  • Usiweke chochote mdomoni ama ujaribu kubanua meno.
  • Mtu hayuko katika hatari ya kumeza ulimi wake
  • Usijaribu kuzuia mwendo wao kwa kutumia nguvu.Hili linaweza kusababisha majeraha kwa mgonjwa na pia yule anayejaribu kuwasaidia.
  • Popote inapowezekana, jaribu kumlaza mtoto katika sehemu iliyo laini na wageuze upande mmoja.
  • Weka kitu tambarare na laini chini ya kichwa chake ili asijiumize.
  • Fungua nguo zilizombana haswa kwenye shingo kama tai, skafu na kadhalika
  • Usiweke chochote mdomoni.
  • Nakili mda ambao mshtuko umechukua.
  • Jaribu kutazama mwondoko ambao mtu hufanya wakati ameshikwa na kifafa.
  • Wakati mkutuo unaanza kupungua, hakikisha ya kwamba kupumua kumerudia hali yake ya kawaida.
  • Baada ya kifafa, mvingirishe mtu ili alalie upande mmoja.Hili hufanya mate kutoka mdomoni na kuhakikisha ya kwamba hanyongwi. Ikiwa kuna matapishi, mweke mtu kwa upande mmoja na safisha mdomo wake kwa kidole.
  • Usijaribu kumpatia dawa ama uoevu hadi aamke
  • Waondolee hofu, zungumza nao kwa upole na wasaidie kupata nafuu pole pole.
  • Usimwache mtu pekee yake hadi apate nafuu.

Ni nini ninachopaswa kufanya ikiwa nadhani nimeathiriwa na kifafa?

Ni muhimu kukumbuka ya kwamba kifafa ni hali ambayo inaweza kudhibitiwa. Sio kitu cha kuona haya. Sio laana ama ulemavu. Ni hali inayohitaji matibabu na kufuatiliwa kama hali zingine kama shinikizo la juu la damu, kisukari, pumu na kadhalika

Ikiwa unadhani ya kwamba umeathiriwa na ugonjwa wa kifafa ama ikiwa umewahi kuanguka chini na kuzimia ni muhimu kutafuta usaidizi wa dakitari aliye karibu. Ikiwa inawezekana andamana na mtu aliyekuwa nawe wakati ikifanyika ili waeleze kile walichokiona. Hili litasaidia dakitari kufanya ubainifu sahihi.

Mtoto wa maskini hebu soma hapa haafu chukua hatua:

8.Kifafa
Asubuhi kabla ya kunywa chai,anywe asali kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja.Aendelee hivyo kwa wiki moja.

source: Tiba MAASAI TRADITIONAL MEDICINE(TIBA ASILI ZA KIMASAI): JE WAJUA ASALI INA UWEZO WA KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI ?

habari zenu wadau, huduma ya kwanza kwa mtu mwenye Ugonjwa wa Kifafa ni nini? pia Ugonjwa wa Kifafa unaambukizwa kwa njia zipi?
 
Nakushauri MziziMkavu kuwa vitu vingine weka wazi ili wengi wanufaike navyo. Hapa watu wanatafuta tiba na hili jukwaa ni kusaidiana katika kupata suluhu. Sasa dawa inatumwa kwa email? Just mention kuwa dawa ni hii hapa basi!! Nahisi unai-missuse hii forum kwa kuifanya ni sehemu ya matangazo yako ya biashara.

Hope umenipata vizuri.
Siwezi kuweka wazi kila kitu ukiweza weka wewe wazi nimeshawasaidia wengi mimi ninapata faida gani? wewe unavyofikiria mimi Elimu nimeipata bure? ukiweza wewe muambie dawa ya kifafa inatosha.
 
Duh! kumbe ndio hivi ila mbona wana mzuiaga na kitu mdomoni wanadai asijing'ate ulimi.
 
Daah Mzizi,

Yaani wewe hujajua maana ya hili jukwaa. Madhumuni yake ni kushare experience ya matatizo na kusaidiana kutafuta suluhu. Kama unajua tiba ya ugonjwa basi unaitaja na mhitaji anaitafuta. Naona wewe umefanya ni uwanja wako wa kutangaza madawa ya wengine. Sisi tunakujua vizuri saaana wewe ni nani na unafanya nini. Maana hata dawa unazouza ni kuwa wewe unaenda dukani na kununua na kuuza kwa gharama kubwa zaidi. Hata elimu yako tunaijua vizuri saana ndo maana unacopy na kupaste hapa jukwaani. anyway huna jipya. nakushauri share experince sio kufanya biashara saana.

hope umenipata?

njama

Siwezi kuweka wazi kila kitu ukiweza weka wewe wazi nimeshawasaidia wengi mimi ninapata faida gani? wewe unavyofikiria mimi Elimu nimeipata bure? ukiweza wewe muambie dawa ya kifafa inatosha.
 
Daah Mzizi,

Yaani wewe hujajua maana ya hili jukwaa. Madhumuni yake ni kushare experience ya matatizo na kusaidiana kutafuta suluhu. Kama unajua tiba ya ugonjwa basi unaitaja na mhitaji anaitafuta. Naona wewe umefanya ni uwanja wako wa kutangaza madawa ya wengine. Sisi tunakujua vizuri saaana wewe ni nani na unafanya nini. Maana hata dawa unazouza ni kuwa wewe unaenda dukani na kununua na kuuza kwa gharama kubwa zaidi. Hata elimu yako tunaijua vizuri saana ndo maana unacopy na kupaste hapa jukwaani. anyway huna jipya. nakushauri share experince sio kufanya biashara saana.

hope umenipata?

njama
Hili jukwaa la afya kila mtu kutowa maoni yake ndio makusudio ya jukwaa hili sio jukwaa la kutowa dawa. Ni jukwaa la kuwapa watu ushauri wengine wanatumia jukwaa hili kusalimia watu wengine hawapo Serious kusaidia watu wengine wanafanya ndio jukwaa la mchezo basi kila mtu ana akaili yake aliyopewa na Mwenyeezi Mungu . Ukiweza na wewe Saidia wenzako usipende kulaumu tu hakuna faida.
 
Nakushauri MziziMkavu kuwa vitu vingine weka wazi ili wengi wanufaike navyo. Hapa watu wanatafuta tiba na hili jukwaa ni kusaidiana katika kupata suluhu. Sasa dawa inatumwa kwa email? Just mention kuwa dawa ni hii hapa basi!! Nahisi unai-missuse hii forum kwa kuifanya ni sehemu ya matangazo yako ya biashara.

Hope umenipata vizuri.
Kwanini aweke wazi MziziMkavu hivyo vitu vingine? Kwani hapa ni UN Umoja wa Mataifa? mbona unamsakama Daktari wetu namna hivyo wewe mkuu njamayo? Nimevumilia kwa kumsakama Daktari wetu Mzizi Mkavu sasa nimeona na mimi nikwambie ukweli wewe njamayo kama unajuwa Dawa ya kutibu kifafa weka hapa usilete maneno yako yasiyokuwa na msingi wowote juu ya mzizmkavu kama huna maneno ya kuzungumza bora nyamaza.

Daah Mzizi,

Yaani wewe hujajua maana ya hili jukwaa. Madhumuni yake ni kushare experience ya matatizo na kusaidiana kutafuta suluhu. Kama unajua tiba ya ugonjwa basi unaitaja na mhitaji anaitafuta. Naona wewe umefanya ni uwanja wako wa kutangaza madawa ya wengine. Sisi tunakujua vizuri saaana wewe ni nani na unafanya nini. Maana hata dawa unazouza ni kuwa wewe unaenda dukani na kununua na kuuza kwa gharama kubwa zaidi. Hata elimu yako tunaijua vizuri saana ndo maana unacopy na kupaste hapa jukwaani. anyway huna jipya. nakushauri share experince sio kufanya biashara saana.

hope umenipata?

njama
share wewe hizo experience za matatizo ya watu na utowe Dawa zako ili na watu wapate kufaidika acha kumsakama Mzizimkavu unamdai nini? Wewe unajuwa Mkuu MziziMkavu ushauri wake umewasaidia wengi tu sasa akikwambia Dawa zingine hawezi kuziweka hapa unataka akale wapi wewe njamayo? Unamlipa mkuu MziziMkavu ushauri wake? unajuwa watu wanalipwa kutowa ushauri sasa MziziMkavu anatowa ushauri wa bure umeshawahi kumlipa wewe mzizimkavu ushauri wake? acha kuzungumza kama mtu uliye lewa bora unyamaze itakuwa ni bora sana kuliko kuleta maneno yako ya pumba hapa jukwaani.

Hili jukwaa la afya kila mtu kutowa maoni yake ndio makusudio ya jukwaa hili sio jukwaa la kutowa dawa. Ni jukwaa la kuwapa watu ushauri wengine wanatumia jukwaa hili kusalimia watu wengine hawapo Serious kusaidia watu wengine wanafanya ndio jukwaa la mchezo basi kila mtu ana akaili yake aliyopewa na Mwenyeezi Mungu . Ukiweza na wewe Saidia wenzako usipende kulaumu tu hakuna faida.
Mkuu MziziMkavu msamehe huyu njamayo hajuwi analolisema anakuonea wivu na yey anatamani ajulikane kama wewe unavyojulikana kuwasaidia watu achana nae huyu.
 
Wewe kipindupindu

Yaani hujui kabisa unalolisema. Eti asamehe... Asamehe nini sasa? Huyu jamaa tunamjua saana, labda kama ameamua kuwa mganga wa kienyeji. Anachokifanya sio sahihi hata kidogo anauzia watu dawa za hospital mfano anataka kuuza dawa za kifafa. sasa anajua dozi yake? anajua side effects? hana elimu hiyo hata kidogo. anachokifanya ni kinyume kabisaa. na akizidi tutamriport kwa mamlaka maana tunamjua na hata ndugu zake wa bongo tunawajua. Aafu yaani kwa harakahara PM unazonitumia na anazonitumia huyo mzizi ni wazi kuwa

kipindupindu = MziziMkavu, the same person different id.

eti dr? duuh. aisee kicheko tuuuu mpaka mwisho. haya mambo ya bongo hata mganga wa kienyeji anajiita dr tuyaache jamani. Mganga wa kienyeji aitwe hivo na waache madk wafanyeye kazi. hope umenipata wewe mziz=kipindu

njama

Kwanini aweke wazi MziziMkavu hivyo vitu vingine? Kwani hapa ni UN Umoja wa Mataifa? mbona unamsakama Daktari wetu namna hivyo wewe mkuu njamayo? Nimevumilia kwa kumsakama Daktari wetu Mzizi Mkavu sasa nimeona na mimi nikwambie ukweli wewe njamayo kama unajuwa Dawa ya kutibu kifafa weka hapa usilete maneno yako yasiyokuwa na msingi wowote juu ya mzizmkavu kama huna maneno ya kuzungumza bora nyamaza.

share wewe hizo experience za matatizo ya watu na utowe Dawa zako ili na watu wapate kufaidika acha kumsakama Mzizimkavu unamdai nini? Wewe unajuwa Mkuu MziziMkavu ushauri wake umewasaidia wengi tu sasa akikwambia Dawa zingine hawezi kuziweka hapa unataka akale wapi wewe njamayo? Unamlipa mkuu MziziMkavu ushauri wake? unajuwa watu wanalipwa kutowa ushauri sasa MziziMkavu anatowa ushauri wa bure umeshawahi kumlipa wewe mzizimkavu ushauri wake? acha kuzungumza kama mtu uliye lewa bora unyamaze itakuwa ni bora sana kuliko kuleta maneno yako ya pumba hapa jukwaani.

Mkuu MziziMkavu msamehe huyu njamayo hajuwi analolisema anakuonea wivu na yey anatamani ajulikane kama wewe unavyojulikana kuwasaidia watu achana nae huyu.
 
Wewe kipindupindu

Yaani hujui kabisa unalolisema. Eti asamehe... Asamehe nini sasa? Huyu jamaa tunamjua saana, labda kama ameamua kuwa mganga wa kienyeji. Anachokifanya sio sahihi hata kidogo anauzia watu dawa za hospital mfano anataka kuuza dawa za kifafa. sasa anajua dozi yake? anajua side effects? hana elimu hiyo hata kidogo. anachokifanya ni kinyume kabisaa. na akizidi tutamriport kwa mamlaka maana tunamjua na hata ndugu zake wa bongo tunawajua. Aafu yaani kwa harakahara PM unazonitumia na anazonitumia huyo mzizi ni wazi kuwa

kipindupindu = MziziMkavu, the same person different id.

eti dr? duuh. aisee kicheko tuuuu mpaka mwisho. haya mambo ya bongo hata mganga wa kienyeji anajiita dr tuyaache jamani. Mganga wa kienyeji aitwe hivo na waache madk wafanyeye kazi. hope umenipata wewe mziz=kipindu

njama
Hakuna dawa za Hospitali za kutibu maradhi ya Kifafa. dawa zangu za kutibu maradhi ya kifafa ni dawa za Mitishamba zinatoka nchini India huwezi kupata hapo Tanzania kamwe. ndio maana kwa maradhi hayo ya kifafa mtu akihitaji anitafute kwa njia ya Email yangu address Fewgoodman@hotmail.com Ukiona mpaka mtu kaja hapa jukwaani kuuliza Dawa ujuwe ameshamaliza dawa hospitalini hakupona ndio maana kaja hapa kuuliza dawa kazi kwako ndugu njamayo
 
Nimekupata Kipindupindu,

Nnachosema ni kuwa wewe huna dawa, mwelekeze tu jamaa anunue yeye mwenyewe. Isitoshe wewe hauko India, sasa kwa nini useme dawa zako. aiseee acha utapeli mzee. sema tu dawa ni hii basi. isitoshe huna experience yoyote ya hiyo dawa maana hauko kwenye field ya medicine.
 
MziziMkavu,

aisee hayo maneno niliyokoleza hapo juu FUTA KABISA KABISA na uache propaganda za kukatisha watu tamaa wasiende hospitali. Yanazihirisha unavotanguliza pesa badala ya madhumunii ya jukwaa. Kifafa kinaponywa kwa kupunguza incidence za matukio na tiba zipo mahospitalini. Ila ni tiba ya muda mrefu. acha kuleta uganga bwa kienyeji kwenye issue serious aisee. huyu jamaa anahitaji kwenda hospital na awe mtu wa subira na mvumilivu. aiseee nakushauri acha propaganda chafu, acha watu wapate tiba sahihi hospitalini.

njama
 
MziziMkavu,
aisee hayo maneno niliyokoleza hapo juu FUTA KABISA KABISA na uache propaganda za kukatisha watu tamaa wasiende hospitali. Yanazihirisha unavotanguliza pesa badala ya madhumunii ya jukwaa. Kifafa kinaponywa kwa kupunguza incidence za matukio na tiba zipo mahospitalini. Ila ni tiba ya muda mrefu. acha kuleta uganga bwa kienyeji kwenye issue serious aisee. huyu jamaa anahitaji kwenda hospital na awe mtu wa subira na mvumilivu. aiseee nakushauri acha propaganda chafu, acha watu wapate tiba sahihi hospitalini

njama
Acha kusema uongo wewe mwenye Sura ya nyani miwani yako tu inakuonyesha wewe muongo unasema hakuna Dawa ya kutibu Ugonjwa wa kifafa hospitalini soma hapa kama unajuwa kiingereza wewe Njama

Treatment & Care

Medications for epilepsy are mainstays in controlling epileptic seizures. But surgical procedures are another dimension in treatment. Learn about your options.

Treatment

Treatment for Epilepsy

The type of treatment prescribed will depend on several factors, including the frequency and severity of the seizures and the person's age, overall health, and medical history.
Ketogenic Diet

This is one of the oldest treatments for epilepsy, and helps lessen seizures.
Alternative Treatments
Biofeedback, melatonin, and large vitamin doses can help. Read on.
Vagus Nerve Stimulation

Learn the risks and benefits of this epilepsy surgery.
Epilepsy Treatments: Find the Right Medication

There is no cure for epilepsy, but medications may help keep symptoms under control.

New Epilepsy Treatments

Treatments for epilepsy have come a long way in the last decade. Doctors have more than twice as many epilepsy medications to choose from than they did 10 years ago.
Epilepsy Drugs for Children

There are a wide number of medications available for treating epilepsy in children, and advances in the past years have made a difference.
Multiple Subpial Transection (MST)

Sometimes, brain seizures begin in a vital area of the brain -- for example, in areas that control movement, feeling, language, or memory.
Temporal Lobe Resection

A temporal lobe resection is a surgery performed on the brain to control seizures. In this procedure, brain tissue in the temporal lobe is resected, or cut away, to remove the seizure focus.
Lesionectomy
Lesionectomy may be an option for people whose epilepsy is linked to a defined lesion and whose seizures are not controlled by medication.
Functional Hemispherectomy
This procedure generally is used only for people with epilepsy who do not experience improvement in their condition after taking many different medications and who have severe, uncontrollable seizures.
Corpus Callosotomy
A corpus callosotomy, sometimes called split-brain surgery, may be performed in people with the most extreme and uncontrollable forms of epilepsy, when frequent seizures affect both sides of the brain.
Extratemporal Cortical Resection
An extratemporal cortical resection is an operation to resect, or cut away, brain tissue that contains a seizure focus.
Drug Treatments for Essential Tremor
With the use of medication, people with essential tremor may see improvement in their ability to control their tremor and improvement in activities such as drinking from a cup or using food utensils.

Care

Seizure: What to Do At Home
To prevent injuries during a seizure, these tips will help.
Stopping Your Epilepsy Treatment
Has it been awhile since you've had a seizure? Talk to your doctor about stopping medication.
Seizure Safety and Prevention
Taking epilepsy medication after a first or second or febrile seizure may also help prevent recurrent seizures.

Chanzo: Epilepsy: Treatment & Care

Umeona hayo Maandishi mekundu yamesemaje? Tafsiri kwa lugha ya Kiswahili? Sasa kama kuna dawa ya

Ugonjwa wa kifafa kwanini huyu.@
mtoto wa maskini Kaja kuuliza hapa? Jiulize wewe Mwenyewe? Iweje aje hapa kuuliza Dawa

ya Ugonjwa wa kutibu Kifafa wakati kama Hospitali Dawa ipo? Hakuna Dawa ya kutibu Ugonjwa wa kifafa. kuna

Dawa tu ya kutuliza sio kutibu Maradhi ya Kifafa kaa uelewe usilete ubishi wa Klabu za Simba na Yangahapa

jukwaani .Kama unaijuwa Dawa ya kutibu Maradhi ya Kifafa iweke hapa ili jamaa afaidike nayo kam huna bora

jamaza kimya kuliko kuleta mambo yako ya ubishi hapa.
 
Wewe kipindupindu/MziziMkavu,

Sasa afadhali hata unaonyesha wapi unachukua notes zako. Sio kuja hapa na notes za wengine bila ku-reference. Ni kuwa tiba zipo na huyu jamaa nilimtumia baadhi ya links ili asome. Sikupenda ulivosema hakuna tiba za hospital na ukadai kuwa unayotiba ya mitishamba. Huuu ni ulimbukeni wa kutaka kucheza na maisha ya watu wagonjwa. Fikiria mtu ana kifafa aafu unaanza kusema hakuna tiba hospitalini ila mm (mzizmav) ndo nna tiba. aisee inabowa saana. nafikiri ni kiburi cha watu kukuita dk wakati tunaokufahamu tunacheka saana. nakushauri fanya biashara zako kistaarabu huku ukitanguliza uhai wa watu. sasa wewe hujawahi hata kutoa aspirini hospital unaanza kubisha hapa jukwaani kama shabiki wa united inayofungwa kila siku.
Tiba zipo na huyu jamaa anatakiwa apate tiba na azingatie tiba. kumbuka ni ya muda mregu.
Acha kusema uongo wewe mwenye Sura ya nyani miwani yako tu inakuonyesha wewe muongo unasema hakuna Dawa ya kutibu Ugonjwa wa kifafa hospitalini soma hapa kama unajuwa kiingereza wewe Njama

Treatment & Care

Medications for epilepsy are mainstays in controlling epileptic seizures. But surgical procedures are another dimension in treatment. Learn about your options.

Treatment

Treatment for Epilepsy

The type of treatment prescribed will depend on several factors, including the frequency and severity of the seizures and the person's age, overall health, and medical history.

Ketogenic Diet

This is one of the oldest treatments for epilepsy, and helps lessen seizures.

Alternative Treatments

Biofeedback, melatonin, and large vitamin doses can help. Read on.

Vagus Nerve Stimulation

Learn the risks and benefits of this epilepsy surgery.

Epilepsy Treatments: Find the Right Medication

There is no cure for epilepsy, but medications may help keep symptoms under control.

New Epilepsy Treatments

Treatments for epilepsy have come a long way in the last decade. Doctors have more than twice as many epilepsy medications to choose from than they did 10 years ago.

Epilepsy Drugs for Children

There are a wide number of medications available for treating epilepsy in children, and advances in the past years have made a difference.

Multiple Subpial Transection (MST)

Sometimes, brain seizures begin in a vital area of the brain -- for example, in areas that control movement, feeling, language, or memory.

Temporal Lobe Resection

A temporal lobe resection is a surgery performed on the brain to control seizures. In this procedure, brain tissue in the temporal lobe is resected, or cut away, to remove the seizure focus.

Lesionectomy

Lesionectomy may be an option for people whose epilepsy is linked to a defined lesion and whose seizures are not controlled by medication.

Functional Hemispherectomy

This procedure generally is used only for people with epilepsy who do not experience improvement in their condition after taking many different medications and who have severe, uncontrollable seizures.

Corpus Callosotomy

A corpus callosotomy, sometimes called split-brain surgery, may be performed in people with the most extreme and uncontrollable forms of epilepsy, when frequent seizures affect both sides of the brain.

Extratemporal Cortical Resection

An extratemporal cortical resection is an operation to resect, or cut away, brain tissue that contains a seizure focus.

Drug Treatments for Essential Tremor

With the use of medication, people with essential tremor may see improvement in their ability to control their tremor and improvement in activities such as drinking from a cup or using food utensils.

Care

Seizure: What to Do At Home
To prevent injuries during a seizure, these tips will help.

Stopping Your Epilepsy Treatment

Has it been awhile since you've had a seizure? Talk to your doctor about stopping medication.

Seizure Safety and Prevention

Taking epilepsy medication after a first or second or febrile seizure may also help prevent recurrent seizures.

Chanzo: Epilepsy: Treatment & Care

Umeona hayo Maandishi mekundu yamesemaje? Tafsiri kwa lugha ya Kiswahili? Sasa kama kuna dawa ya

Ugonjwa wa kifafa kwanini huyu.@
mtoto wa maskini Kaja kuuliza hapa? Jiulize wewe Mwenyewe? Iweje aje hapa kuuliza Dawa

ya Ugonjwa wa kutibu Kifafa wakati kama Hospitali Dawa ipo? Hakuna Dawa ya kutibu Ugonjwa wa kifafa. kuna

Dawa tu ya kutuliza sio kutibu Maradhi ya Kifafa kaa uelewe usilete ubishi wa Klabu za Simba na Yangahapa

jukwaani .Kama unaijuwa Dawa ya kutibu Maradhi ya Kifafa iweke hapa ili jamaa afaidike nayo kam huna bora

jamaza kimya kuliko kuleta mambo yako ya ubishi hapa.

Nina mdogo wangu ana miaka 16 yupo form one.. Tangu mwaka jana akiwa darasa la saba alianza kupata tazizo la kuangukaanguka akawa analala karibu siku tatu bila kuamka madaktari walishangaa sana aina ya ugonjwa ulewakatupa kibali cha kwenda Muhimbili kwa ajili ya vipimo zaidi.. tulipofika muhimbili tulihudumiwa na kurudi kwetu, ila tatizo halikupungua liliendelea na linaendelea hadi sasqa ingawa sasa kaanza kuonyesha dalili kuwa ana kifafa kwa sababu anapoanguka anatoa povu mdomoni na pia muda mwingine anajikojolea kabisa akiwa katika hadi ile.. Tumeshahangaika sana bila mafanikio.., tunahitaji msaada wenu wapendwa kwa mtu yoyote anayejua tiba halisi ya ugonjwa huu aweze kusaidia..
 
Ndugu hakuna tiba ya moja kwa moja ya kifafa,bali ziko dawa mf carbamazepin nk ambazo ukitumia hali ya kuanguka anguka inapungua na unaweza kupata utulivu kiasi fulani.kuhusu dawa za kienyeji utaibiwa bure tu, na wala usifikirie au kutamani tatizo hilo liishe au kupungua ndani ya muda mfupi, jikubali ktk hali hiyo, fanya matibabu ukiwa umetanguliza subira.
 
Back
Top Bottom