Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

Kumekuwa na taarifa kuhusu hatari ya ongezeko la ugonjwa huu! kwa maelezo ya ataalamu wa BENKI KUU YA DAWA asilimia 0.6% ya damu zinazochangaiwa hukutwa na HIVlakini 7% NA TUMEAMBIWA UGONJWA HUU HAUNA TIBA! NA NJIA ZAKE ZA KUMBUKIZA NI RAHISI'kama kugusana ,mate nk .Cha kushangaza sijaona hamasa kubwa yupande wa elimu kwa umma! AU wafadhili hawana issue nao!Kupitia jukwaa hili tafadhali tuelimishane kuhusu janga hili Naomba nianze kuuliza gharama ya chanjo ugonjwa huu ni kiasi gani?

Kuhusu gharama nlinunua dola 50 then nkapelekea manesi wakanichoma ..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Si kweli kuwa huu u gonjwa hautibiki,mimi ni mfanyakazi wizara ya afya hapa london,ni moja ya masharti kuwa na kinga ya ugonjwa huu,kuna kinga aina mbili ya kwanza ambayo mtu anaipata baada yakuathirika kisha kutibiwa with very stong course of antibiotic tayari unakuwa umetengeneza natural immune,madhala ya ugonjwa huu hauonyeshi dalili za mapema na pindi unapoonyesha dalili unakuwa umeshafanya athari kubwa kwenye ini.pili ni vaccine ambazo ni sindano 3,kila sindano moja ndani ya wiki 4,kabla ujamaliza sindano ya 3 damu hutolewa na kwenda kuangaliwa kama umetengeneza antibodies ambazo inatakiwa ziwe over 100 kulingana na hesabu zitumikazo.ikikutwa una over 100 tayari kinga unayo na unawekwa kwenye booster ambayo ni kila baada ya 5 years ku boost immune.ila si kweli ugonjwa unatibika sana ila ni vizuri kuuwai mapema sababu wakati unaonyesha dalili unakuwa umeshatafuna ini.nawakilisha.
 
Hepatitis B ni homa ya ini kwa kiswahili. Homa ya Inni umeanza kuwa tishio kama ilivyo katika ugonjwa wa ukimwi, na maambukiz yake ni kama yalivyo katika ugonjwa wa ukimwi mbaya zaidi ukigusana na jasho la mtu mwenye ugonjwa huo au kunyonyana ndimi, kufanya ngono zembe au kinyume na maumbile na mtu mwenye ugonjwa huo unaupata, ukipata ugonjwa huo unapelekea inn kuumuka na kushndwa kufanya kaz na kupelekea kupata kansa ya inn na mwishowe kifo, wataalamu wanasema ugonjwa huu ni hatari zaidi kuliko ukimwi. Ni vizur ufanye maamuz leo ya kupata chanjo ili kukwepa ugonjwa huo, nenda kwenye hospital ya serikali au binafsi upate elimu zaidi na fanya vipimo ukigundulika huna jipatie chanjo.
 
Kumekuwa na taarifa kuhusu hatari ya ongezeko la ugonjwa huu! kwa maelezo ya ataalamu wa BENKI KUU YA DAWA asilimia 0.6% ya damu zinazochangaiwa hukutwa na HIVlakini 7% NA TUMEAMBIWA UGONJWA HUU HAUNA TIBA! NA NJIA ZAKE ZA KUMBUKIZA NI RAHISI'kama kugusana ,mate nk .Cha kushangaza sijaona hamasa kubwa yupande wa elimu kwa umma! AU wafadhili hawana issue nao!Kupitia jukwaa hili tafadhali tuelimishane kuhusu janga hili Naomba nianze kuuliza gharama ya chanjo ugonjwa huu ni kiasi gani?

Dawa Ya Maradhi ya Hepatitis B Uyoga mwekundu wa porini (Reishi Mushroom)

Healing herbs for hepatitis B



REISHI MUSHROOM
 

Attachments

  • reishi_mushroom.jpg
    reishi_mushroom.jpg
    70.7 KB · Views: 161
Ni maradhi yanayoshambulia ini my dear ila wataalamu watakueleza zaidi....

MziziMkavu hivi zile sindano zake za kinga zinasaidia kweli? Nimechomwa 1 week baada ya kujifundua kuna nyengine mwezi ujao natakiwa nichome na nyengine miezi 6

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

hongera mamitoo for ur babygirl...
 
Last edited by a moderator:
Alaa, da fa umepata baby? Lini?
MashAllah, Mungu atuekee.

Nami nimepata baby girl km mwezi mmoja sasa
 
Ugonjwa wa manjano kwa kitaaramu huitwa HEPATITIS,huu ni ugonjwa hatarisana.Ugonjwa huo huo husababishwa na virusi aina ya hepatitis,ambavyo hushambulia zaidi ini ktk mwili wa binadamu.

Ugonjwa huo usipotibiwa mapema husababisha uvimbe ktk ini na hatimaye husababisha saratani.Dalili zake huwa hazijionyeshi mwanzo ila huonekana kwa wagonjwa ambao walishaathirika na ugonjwa huo kwa mdamrefu.

Dalili zake ni-

(1)mwili kuwa legelege(dhaifu),

(2)kujisikia kichefu chefu
(3)homa kali sana
(4)maumivu makali ya tumbo upande wa ini

(5)macho na ngozi huwa ya njano

(6)kukojoa mkojo ukiwa na hali ya uweusi.n.kama una tatizo hilo limekwisha.

Nina dawa nzurisana iitwayo NG'HOMA. Ni dawa nzuri sana inayotibu ugonjwa huo kwa mda wa siku saba(7) tu, ni dawa nzurisana ya mitishamba inayotibu na kusaidia watu wengi sana, kwa mda wa siku mbili (2) tu mgonjwa ataona mabadiliko makubwa sana na baada ya wiki moja tu atakuwa safi kabisa.

ama una tatizo hilo na unaitaji dawa nitafute na utapona: 0759217720.
 
Homa ya ini ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana. Ugonjwa huu mara nyingi unasababishwa na virus ina ya hepatities, virus hawa hushambulia ini na hatimae husababisha uvimbe.

Usispopata tiba mapema uvimbe ule husababisha saratani. Pia unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji wa sigara ni mambo yanayosababisha saratani ya ini.

Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na

(1) mwili kuwa dhaifu,

(2) kujisikia kichefuchefu,

(3) kutapika,

(4)kukoswa hamu ya chakula,

(5)homa kali,

(6)kupumua kwa shida,

(7)kukojoa mkojo wa rangi nyeusi,

(8)macho na ngozi kuwa ya njano,

(9)tumbo kuuma kwa maumivu makari upande wa ini n.k.

Kama unateseka na kuhangaika na ugonjwa huu basi umepona, Nina dawa nzuri sana ya asili inayotibu na kuondoa ugonjwa huo kwa mda wa wiki moja (1) tu unakuwasafi kabisa, ndani ya mda wa siku mbili ukianza kutumia dawa hii utaona mabadiliko makubwa mno.

Njano yote itaisha na tumbo litatulia na baada ya dozi utakuwa safi kabisa.

Kama unateseka na ugonjwa huu ntafte:0759217720.
 
Back
Top Bottom