Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

Pole mkuu,jitahidi kwenda kuuliza wizara ya afya kama kuna msaada wa kutibiwa kwa wasiojiweza,pia jaribu kwenda kwa kina mengi ,raisi,ofisi ya bunge kwa assistance,na imani utapata msaada wa kifedha.
 
Pole sana huu ugonjwa watu wengi tunao ila hatujijui wawezakuupata ata kwa kula "denda", kuna rafiki yangu alipata kazi nzuri sana Dubai lakini baada ya kupimwa na kukutwa na huu ugonjwa alipandishwa Emirates na kurudishwa Tz nilisikitika saanaaa, alipofika Tz alianza matibabu kwa dawa za kienyeji (sijui ni dawa gani) alipopima tena haukuonekana, waulizie wazee wetu wa kimasai wawezakukusaidia.
 
Kabla hujapata hio tiba naomba uanze kutumia, habbat soda na Asali, kwa wingi sana, pia tafuna vitunguu swaumu kwa wingi, huku ukiomba Mungu sana
 
Pole ndugu,Hepatitis B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi (HB virus).Ugonjwa huu hauna tiba maalum,kama huwezi gharama za sindano uliyoshauriwa,tumia dawa yeyote ya vidonge vya antivirus (oral antiviral agents) kama vile Entecavir.
Jitahidi kupata chakula kizuri (balanced diet),kunywa maji ya kutosha,pata mda wa kutosha wa kupumzika n.k.
Usiogope,mara nyingi wagonjwa wa Hb B karibu 90% hadi 95% huwa wanapona maambukizi haya.(Wachache huwa wana develop to Liver cirrhosis au Liver Cancer (chronic liver diseases) ambavyo ni hatari kwa maisha (life threatening).
 
Pole sana japo sina la kusema ninalojua juu ya dawa ya ugonjwa huo. Ila mwamini Mungu kwa uponyaji kupitia maombi. Nenda au tafuta Watumishi wa Mungu wakuwekee mikono ila sio manabii na Mzee wa upako. Tafuta mchungaji mwenye sifa njema. Kama uko Dar mtafute yule Mzee wa mito ya Baraka akuwekee mikono natumai utapokea ini jipya. Barikiwa.
 
Pole sana japo sina la kusema ninalojua juu ya dawa ya ugonjwa huo. Ila mwamini Mungu kwa uponyaji kupitia maombi. Nenda au tafuta Watumishi wa Mungu wakuwekee mikono ila sio manabii na Mzee wa upako. Tafuta mchungaji mwenye sifa njema. Kama uko Dar mtafute yule Mzee wa mito ya Baraka akuwekee mikono natumai utapokea ini jipya. Barikiwa.

Yaani wewwe ndo unataka kumuongezea stress zaidi huko unakotaka aende
 
Jaribu tiba bii. Ukiamka asubuhi kabla hujala chochote kunywa lita 1.5 ya maji. Unaweza kula baada ya saa moja au zaidi. Kunya tena lita moja majira ya saa 7 au nane mchana., kinywa tena lita moja majira ya saa 11 au 12 jioni.

Tunakutakia upone haraka.
 
nakumbuka kuna dawa za ukimwi hutumika kutibu hivi virusi. kacheki hospitali iliyo karibu. ni bure hizi dawa.
 
Most Antiretroviral drugs zinatumika kutibu Hepatitis zote. Make a follow up before the situation worsen. Wishing you a good luck on your medications.
 
Kuna makala moja nilisoma online ilieleza kwamba ugonjwa wa hepatitis B unaweza sababisha false positive HIV result!. Kwa wenye utaalamu na experience na mambo ya afya watujuze juu ya hili..
 
Iweke hapa hiyo makala isije kuwa umeamua kujifariji tu.

You've to pay the price mkuu.
 
Asanteni wote kwa ushauri. Ndo uzuri wa Jamiiforums. Kuhusu Bima ya afay ninayo ile ya NHIF ila Muhimbili hapa dawa walizoniandiakia hazipo. Na phamacy hapa mjini DSM hawana.Lakini hata zikipatikana kwenye pharmacy kama hawatakubali insurance basi uwezo sina wa kumudu, ndo maana nikaomba msaada wa taarifa za kuniokoa
 
Kuna wakati nilikuwa nasumbukiwa na chembe ya moyo, kuna waganga wa jf wakajitokeza kutaka kuniuzia dawa, nikashindwa kwa kuwa bei ilikuwa juu (laki mbili) na mm sina uwezo wa kiasi hicho, yaani ikawa usumbufu mkubwa sana. Yule mganga feki ikawa kazi yake kunitumia msg ya kuniomba elfu20. Mwisho nivyoona kero nilimtumia msg ya kumwambia kuwa mm sidanganyiki yaani alianza kujitambulisha kama daktari hadi kuwa mpiga mizinga. Kwa kuwa namfahamu na ni mchangiaji mzuri tu wa thread za magonjwa akiendelea na utapeli wake namwaga HADHARANI!
 
I agree with you, before you make diagnosis for HIV you should control or exclude other chronic diseases first otherwise you are mostly likely to come up with the false result.
 
Asanteni wote kwa ushauri. Ndo uzuri wa Jamiiforums. Kuhusu Bima ya afay ninayo ile ya NHIF ila Muhimbili hapa dawa walizoniandiakia hazipo. Na phamacy hapa mjini DSM hawana.Lakini hata zikipatikana kwenye pharmacy kama hawatakubali insurance basi uwezo sina wa kumudu, ndo maana nikaomba msaada wa taarifa za kuniokoa

Umefikia wapi ndugu, jaribu kutafuta Interferon, Ribaviron au Lamivudine zitakusaidia, cure rate is almost 40 percent and prognosis of HBV is favourable almost good ukiitibu mapema. ondoa shaka.
 
Back
Top Bottom