njamayo
Senior Member
- Jan 6, 2012
- 150
- 40
Habari wana JF,
Nimekutana na hiki kisa kwa mtu anayelalamika ana tatizo la akili. Yeye anasema kuna kipindi anaona mapichapicha ambayo hayaelewielewi. Yanatokea kwa kipindi kifupi tu cha sekunde chache haafu yanapotea na anakuwa kawaida. yuko vizuri tu na huwezi kuzania ana hilo tatizo.
Hebu mwenye chochote katika hili naomba atiririke kwa msaada zaidi.
Asanteni,
Njama