Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

njamayo

Senior Member
Jan 6, 2012
150
40
Habari wana JF,

Nimekutana na hiki kisa kwa mtu anayelalamika ana tatizo la akili. Yeye anasema kuna kipindi anaona mapichapicha ambayo hayaelewielewi. Yanatokea kwa kipindi kifupi tu cha sekunde chache haafu yanapotea na anakuwa kawaida. yuko vizuri tu na huwezi kuzania ana hilo tatizo.

Hebu mwenye chochote katika hili naomba atiririke kwa msaada zaidi.

Asanteni,

Njama
 
Hiyo hali inatokea hasa wakati gani?

Hebu muulize akiona nn ndipo anapatwa na hiyo hali?
Habari wana JF,

Nimekutana na hiki kisa kwa mtu anayelalamika ana tatizo la akili. Yeye anasema kuna kipindi anaona mapichapicha ambayo hayaelewielewi. Yanatokea kwa kipindi kifupi tu cha sekunde chache haafu yanapotea na anakuwa kawaida. yuko vizuri tu na huwezi kuzania ana hilo tatizo.

Hebu mwenye chochote katika hili naomba atiririke kwa msaada zaidi.

Asanteni,

Njama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeleke haraka kwenye vituo vya afya hasa wanaodili na masuala ya akili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ugonjwa unaitwa Psychosis. Mara nyingi huambatana na Depression na Severe anxiety. Mtu anaweza kuona vitu au kusikia sauti zikimwambia vitu illogical.
 
Probable cause

Depression or anxiety

Drug abuse (Bangi or any other drugs)

Njaa kali

Kama yote hayo hana basi anaweza kuwa na some access to higher vibrations of his or her body
 
Probable cause

Depression or anxiety

Drug abuse (Bangi or any other drugs)

Njaa kali

Kama yote hayo hana basi anaweza kuwa na some access to higher vibrations of his or her body

Ni kweli. huyu jamaa alipata depression baada ya msiba wa mama yake, ngawa anasema kwa sasa haimsumbui tena
 
Dah! Kweli duniani matatizo ni mengi. Mi pia nina tatizo kama hilo ila nahisi kwa upande wangu naamini limetokana na baada ya kucheki movie nyingi sana tena kwa miaka mingi. Huwa naona mauza uza tupu

Sent using Sattelite c1175b
 
Back
Top Bottom