jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,715
Kwa miaka ya karibuni magonjwa mengi sana na 'DEADLY' yaeweza kugundulika duniani na mengine kusababisha maafa makubwa pamoja na vifo.Na sasa ugonjwa mpya hatari umeingia duniani...kwa miaka kadhaa iliyopita magonjwa yaliyogunduliwa ni pamoja na
-Mad caw desease
-CJD
-SARS
-Bird flu ,(mafua ya ndege)
-West Nile virus
-Mara Ebola ..
Nitoe habari kwa kifupi tu nitaweka link...
***na sasa ugonjwa mpya wa uitwao ZIKA Virus , ugonjwa huu ulikuwepo( ulionekana mara ya kwanza 1952 tanzania na Uganda) ukapotea ghafla,lakini haujawahi kulipuka kama sasa hivi,umeanza kusambaa kwa kasi sana Central america na pia south america...unaambukizwa na jamii ya mbu aitwae zika na wanasababisha madhara kwa pregnancies watoto wanazaliwa wakiwa na vichwa vidogo sana na ikumbukwe kuwa ugonjwa bado haujapatiwa dawa.
soma hapa zaidi Zika virus - Wikipedia, the free encyclopedia
Zika Virus | Zika virus | CDC