Zaburi 23
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 570
- 650
mwanangu anahangaika sanaaa kachoma sindano WAP Msaada wa dawa bac
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanangu anahangaika sanaaa kachoma sindano WAP Msaada wa dawa bacView attachment 1400500View attachment 1400501View attachment 1400503View attachment 1400504
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe pole.
Huenda vinasababishwa na mchafuko wa damu.
Nimekosea sawa mimi sio daktari. Huenda hakuna lakini kwa mimi ninayetibiwa kwa kutumia mizizi na magome ya miti, wazee washazoea kuita mchafuko wa damu. Kwa wataalamu kama nyie hakuna kitu kama hicho.Hakunaga kitu kinaitwa mchafuko Wa dam mjomba,hzo myth ni za zaman sana skutegemea kabisa useme hvyo