Mhusika mkuu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 432
- 510
Karibuni wadau mwenye uelewa juu ya Ugonjwa anaouzungumzia Kipanya kwenye hii katuni yake.
Mkuu hawa watoto nilishawahi kuwaona k/koo na mama yaoNa huu je
Picha ya wapi hii?Na huu je
Karibuni wadau mwenye uelewa juu ya Ugonjwa anaouzungumzia Kipanya kwenye hii katuni yake.
View attachment 447300
Itakua ZikaPicha ya wapi hii?
Ila ukweli ni kwamba hawa mimi nimewaona hapa hapa Dar, sasa sijui ni ugonjwa gani huu??!!
...Mimi pia nimewaona pls anaeujua atujuzeMkuu hawa watoto nilishawahi kuwaona k/koo na mama yao