Ugonjwa 'HUU' ni upi?

Mhusika mkuu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
432
510
Karibuni wadau mwenye uelewa juu ya Ugonjwa anaouzungumzia Kipanya kwenye hii katuni yake.
IMG_20161217_131210_315.jpg
 
huu ni ugonjwa wa mahaba ushabiki na ulimbukeni. na kibaya kabisa hauna tiba wala chanjo. bora tubaki na huu wa matamko.
 
Aisee huo ugonjwa anaoongelea Masoud kipanya umeletwa na JPM
ni ugonjwa mbaya unatisha haujawahi kutokea
na unachukua muda mrefu sana kupona
 
Back
Top Bottom