Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,175
- 3,889
Wana wiki ngapi hawa mkuu, je chanjo ya kideli uliwapa?Wataalamu naombeni msaada huu ugonjwa naona ni mgeni kwangu vifaranga wanavimba macho na midomo alafu sio kama ile coryza uvimbe wake ni mgumu hautoi chochote ukibinya na sio kwamba hii ni ndui na ni vifaranga wote wa umri huu, msaada please kwa anaeufahamu huenda ni mpya. picha zake hizi👇View attachment 3283647View attachment 3283648
Inaonekana kama ndui lakini naona kama umri wao haiwezekani iwe ndui.