Ugonjwa ambao unasumbua wanaume

Ugonjwa ambao unasumbua wanaume

mamaherry

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
11
Reaction score
0
naombeni kujuzwa wanaume wengi wamekuwa wanavimba shinoni kwa nyuma ..au kutokwa na vipele na makovu nyuma ya shingo hadi wengine kufanyiwa upasuaji..jamani huo ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini
 
Umekosea jukwaa mamaherry peleka hoja yako jukwaa la Afya utapatiwa majibu......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom