Ni kwamba Jide alikuwa na tamasha na FA alikubali kushiriki
Lkn dk ya mwisho kbs paaap Jide anasikia mwanaFA nae anaonyesho siku moja nae huku clouds wakiwa wadhamini
Hata wewe ungejisiaje
Jide alimind hatari sema uzuri alipa watu nyomiiiiii
Hlf mwana FA akachemka
Yote heri wameshapatana sana imebakia story