Ugomvi wa Mume & Mke

Ugomvi wa Mume & Mke

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Mume alikuwa anampiga mkewe! jiran akaja kuamua:-

Jirani: Mke hapigwi jirani!!

Mke: Mume wangu msikilize jiran anavokwambia!

Mume: Ni mjeuri huyu nimfanyeje kama hapigwi?

Jirani: Dawa yake unaoa mke mwengine tu!

Mke: Nyooo Hasidi weee! NIPIGE MUME WANGU USIMSIKILIZE JIRANI..! NIPIGE NIKOME MAANA MIMI WAKATI mwingine SINA ADABU...!

Chezea ukewenza wewe!!!
 
Back
Top Bottom