hata hivyo hakuandika ameweka picha!umekosa cha kuandika.
Umepata cha kucomment...!
wangekuwa ndani baba angekuwa ana piga makelele nta muua huyu mwanamke
Jibu sahihi kwa swali sahihi.....Umepata cha kucomment...!
Huyu jamaa si ndio aliyemuaga mke wake kuwa anasafiri na ndege ya Malaysia Airlines Flight MH370 iliyopotelea Misungwi.... Sasa ndio kafumaniwa hapo mtaa wa pili akitokea kwenye nyumba moja yenye chumba na sebulehuyo dada inaonekana hataki masihara,
usifanye mchezo na kudhulumiwa mshahara
Huyu jamaa si ndio aliyemuaga mke wake kuwa anasafiri na ndege ya Malaysia Airlines Flight MH370 iliyopotelea Misungwi.... Sasa ndio kafumaniwa hapo mtaa wa pili akitokea kwenye nyumba moja yenye chumba na sebule