Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Habari za leo ndugu wana jf,jana jioni nilivyorudi nyumbani toka kazini,nikiwa chumbani kwangu nikawasikia majirani wakijadiliana suala la ugomvi wa mpangaji mmoja kuwa waligombana na mumewe kisa mume alimshutumu mkewe kuwa amejamba(kuachia ushuzi),nasikia ilikuwa bonge la zogo.Jamani wenye ndoa na mlio na wapenzi tuwe tunavumiliana kwa mambo madogo na hata makubwa ili ndoa zetu zidumu kwa muda mrefu.Nawatakia Valentine njema wote.