Lakini kwanini uchagiana na mwana mke kujenga nyumba hapo mtumishi ulibugi sana anakusubili uingize mke mgine ndo sho ianze upya jipange upya ulisha faili hapi ulivyo changiana kujenga nyumba.Wakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa na tuna watoto . Kiukweli naweza sema sijafaidi matunda ya ndoa yani ile kuishi na mke ni mwaka wa 9 huu sikai na mke ni kutembeleana tu na mimi ndo huwa namtembelea zaidi kwa ajili ya kuwaona watoto na kula mbususu
Ila kama mnavyojua binadamu hatujakamilika ingawa tunaishi mbalimbali kwa miaka mingi migogoro ya hapa na pale haiishi.
Na kila tukiwa na ugomvi mdogo tu mke atapiga simu kwa ndugu kunishtakia na ataanza kelele za kutaka kuachana.
Sometimes najiuliza huyu mwanamke ana upendo kweli na mimi au napoteza muda tu maana tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Sasa wadau huyu mwanamke nimkalie kimya tu niendelee na life langu au hata sijui nimfanyaje.
Miaka yote tuliyoishi huyu mwanamke alikopa akajenga nyumba hapa ninapoishi mimi na nimefanya uendelezaji wa haya makazi.
Natamani niimwachie hii nyumba akae na watoto. Maana yeye anasema hawezi kuja kuishi hapa na mimi wakati nyumba ni yake sasa kuna faida gani mi kuendelea kuishi hapa na alishatamka mara kibao hapa hawezi kuja kukaa na mimi hata akihamia mkoa huu hawezi kuishi na mimi. Nipo njia panda na hii ndoa yangu ya mbalimbali.
Ushauri tafadhali.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mkuu wanawake akili zao zinawatosha waoNa hata akipewa talaka huenda asiolewe na anayemrubuni,au hata akiolewa hawezi kuaminika huko aendako,kama karubuniwa akaomba talaka kwa mumewe aliye zaa naye basi inawezekana kabisa akaja kurubuniwa tena kwa mwingine kama ataolewa huko anapopataka,
Kifupi ukiweza kumrubuni Mwanamke akaomba talaka kwa Mumewe basi huyo hafai tena hata kuaminiwa japo kupewa uchafu ili akautupe jalalani.
Majanamke masikini ndivyo yalivyo am sorry mkuu hiyo nyumba ndio inamtia ulimbukeni na ujeuri.Wakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa na tuna watoto . Kiukweli naweza sema sijafaidi matunda ya ndoa yani ile kuishi na mke ni mwaka wa 9 huu sikai na mke ni kutembeleana tu na mimi ndo huwa namtembelea zaidi kwa ajili ya kuwaona watoto na kula mbususu
Ila kama mnavyojua binadamu hatujakamilika ingawa tunaishi mbalimbali kwa miaka mingi migogoro ya hapa na pale haiishi.
Na kila tukiwa na ugomvi mdogo tu mke atapiga simu kwa ndugu kunishtakia na ataanza kelele za kutaka kuachana.
Sometimes najiuliza huyu mwanamke ana upendo kweli na mimi au napoteza muda tu maana tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Sasa wadau huyu mwanamke nimkalie kimya tu niendelee na life langu au hata sijui nimfanyaje.
Miaka yote tuliyoishi huyu mwanamke alikopa akajenga nyumba hapa ninapoishi mimi na nimefanya uendelezaji wa haya makazi.
Natamani niimwachie hii nyumba akae na watoto. Maana yeye anasema hawezi kuja kuishi hapa na mimi wakati nyumba ni yake sasa kuna faida gani mi kuendelea kuishi hapa na alishatamka mara kibao hapa hawezi kuja kukaa na mimi hata akihamia mkoa huu hawezi kuishi na mimi. Nipo njia panda na hii ndoa yangu ya mbalimbali.
Ushauri tafadhali.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Apa Kuna side mbili ,kwakua umeongelea upande wake tuu ila matatizo yako wew jamaa hujayasema ,napenda kusema kila la kheriWakuu salama hapa

Huyo dawa yake ni kumpandisha cheo awe mke mkubwa. Akishajua kapanda cheo atakuja mwenyewe kukaa na wewe. Hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo. Ni lazima usome saikolojia ya mwanamke inside out indipo utaweza kuishi naye kwa amani. Hawa viumbe wanaoitwa wanawake ni pasua kichwa!Wakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa na tuna watoto . Kiukweli naweza sema sijafaidi matunda ya ndoa yani ile kuishi na mke ni mwaka wa 9 huu sikai na mke ni kutembeleana tu na mimi ndo huwa namtembelea zaidi kwa ajili ya kuwaona watoto na kula mbususu
Ila kama mnavyojua binadamu hatujakamilika ingawa tunaishi mbalimbali kwa miaka mingi migogoro ya hapa na pale haiishi.
Na kila tukiwa na ugomvi mdogo tu mke atapiga simu kwa ndugu kunishtakia na ataanza kelele za kutaka kuachana.
Sometimes najiuliza huyu mwanamke ana upendo kweli na mimi au napoteza muda tu maana tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Sasa wadau huyu mwanamke nimkalie kimya tu niendelee na life langu au hata sijui nimfanyaje.
Miaka yote tuliyoishi huyu mwanamke alikopa akajenga nyumba hapa ninapoishi mimi na nimefanya uendelezaji wa haya makazi.
Natamani niimwachie hii nyumba akae na watoto. Maana yeye anasema hawezi kuja kuishi hapa na mimi wakati nyumba ni yake sasa kuna faida gani mi kuendelea kuishi hapa na alishatamka mara kibao hapa hawezi kuja kukaa na mimi hata akihamia mkoa huu hawezi kuishi na mimi. Nipo njia panda na hii ndoa yangu ya mbalimbali.
Ushauri tafadhali.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Akili kumkichwa. Tayari ameishazoea maisha hayo. Huna mke hapo.Kasema bora awe msimbe na mdangaji ila anataka aishi mwenyewe na hii kauli yake kila tukiwa na kimgogoro
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Wakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa na tuna watoto . Kiukweli naweza sema sijafaidi matunda ya ndoa yani ile kuishi na mke ni mwaka wa 9 huu sikai na mke ni kutembeleana tu na mimi ndo huwa namtembelea zaidi kwa ajili ya kuwaona watoto na kula mbususu
Ila kama mnavyojua binadamu hatujakamilika ingawa tunaishi mbalimbali kwa miaka mingi migogoro ya hapa na pale haiishi.
Na kila tukiwa na ugomvi mdogo tu mke atapiga simu kwa ndugu kunishtakia na ataanza kelele za kutaka kuachana.
Sometimes najiuliza huyu mwanamke ana upendo kweli na mimi au napoteza muda tu maana tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Sasa wadau huyu mwanamke nimkalie kimya tu niendelee na life langu au hata sijui nimfanyaje.
Miaka yote tuliyoishi huyu mwanamke alikopa akajenga nyumba hapa ninapoishi mimi na nimefanya uendelezaji wa haya makazi.
Natamani niimwachie hii nyumba akae na watoto. Maana yeye anasema hawezi kuja kuishi hapa na mimi wakati nyumba ni yake sasa kuna faida gani mi kuendelea kuishi hapa na alishatamka mara kibao hapa hawezi kuja kukaa na mimi hata akihamia mkoa huu hawezi kuishi na mimi. Nipo njia panda na hii ndoa yangu ya mbalimbali.
Ushauri tafadhali.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Amka sasa kutoka usingizini! Kubali tu kuanza maisha upya. Maana huna mke mpaka muda huu naandika hapa.
Sasa mpaka ukutamkie kua hakutaki ndio uelewe? Au ndio wale mliofungwa pingu za maisha.Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Inategemea huo ugomvi wenu unahusisha nn kama ni cheating sio kosa lakeWakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa na tuna watoto . Kiukweli naweza sema sijafaidi matunda ya ndoa yani ile kuishi na mke ni mwaka wa 9 huu sikai na mke ni kutembeleana tu na mimi ndo huwa namtembelea zaidi kwa ajili ya kuwaona watoto na kula mbususu
Ila kama mnavyojua binadamu hatujakamilika ingawa tunaishi mbalimbali kwa miaka mingi migogoro ya hapa na pale haiishi.
Na kila tukiwa na ugomvi mdogo tu mke atapiga simu kwa ndugu kunishtakia na ataanza kelele za kutaka kuachana.
Sometimes najiuliza huyu mwanamke ana upendo kweli na mimi au napoteza muda tu maana tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Sasa wadau huyu mwanamke nimkalie kimya tu niendelee na life langu au hata sijui nimfanyaje.
Miaka yote tuliyoishi huyu mwanamke alikopa akajenga nyumba hapa ninapoishi mimi na nimefanya uendelezaji wa haya makazi.
Natamani niimwachie hii nyumba akae na watoto. Maana yeye anasema hawezi kuja kuishi hapa na mimi wakati nyumba ni yake sasa kuna faida gani mi kuendelea kuishi hapa na alishatamka mara kibao hapa hawezi kuja kukaa na mimi hata akihamia mkoa huu hawezi kuishi na mimi. Nipo njia panda na hii ndoa yangu ya mbalimbali.
Ushauri tafadhali.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Eeeh ndo kauli zake hizi anaona bora awe msimbe na mdangaji kuliko kuwa na mimiMsimbe na mdangaji![]()