Ugomvi kidogo anataka tuachane

Ugomvi kidogo anataka tuachane

Mkuu wanawake akili zao zinawatosha wao

Believe me kama unavyosema huyo mwanamke anaweza kurubuniwa kwa kuwa jamaa yuko nae hapo kwa miaka kibao (mfano) anamla tu na mwanamke akipata talaka yake kwa ujinga anaweza kumtimua jamaa hapo

akauza nyumba ili wanunue kwingine jamaa akamzika mazima maana anamuona kama kahaba mmoja tu aliemfukuza mme wake akiwa kamzalia na watoto

Nani atamuamini mwanamke wa hivyo hapo jamaa kama ikitokea hivyo Adai watoto kisheria na atafute mwanamke wa kusaidia kulea nae
Hili suala la kuuza nyumba lilikuwepo kipindi flani nikamwambia usiuze ila mi nitasepa nikuachie nyumba yako na watoto

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kaisha zoea uhuru wa kuishi peke yake. Miaka tisa mpo mbalimbali! Ukienda na kujitia baba, mara ufuliwe, upikiwe nk nk anakuona kero tu. Uhuru wa kuwa bosi wa makazi yake umeshamlevya.
 
Ni bora nisioe kuliko kuoa halafu mke akawa mbali na mimi.

Ni ngumu kukwepa vishawishi, ni ngumu mno.
 
Mpaka hapo huyo mkeo ni msimbe na mdangaji. Anataka tu kufanya mambo yake kwa uhuru zaidi.
 
tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Dah eti abakie msimbe na mdangaji-itakuwa kakutana na ndefu nene.

Hebu tupe mrejesho mmefikia wapi?
 
Back
Top Bottom