Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 455
- 1,729
Wakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa na tuna watoto . Kiukweli naweza sema sijafaidi matunda ya ndoa yani ile kuishi na mke ni mwaka wa 9 huu sikai na mke ni kutembeleana tu na mimi ndo huwa namtembelea zaidi kwa ajili ya kuwaona watoto na kula mbususu
Ila kama mnavyojua binadamu hatujakamilika ingawa tunaishi mbalimbali kwa miaka mingi migogoro ya hapa na pale haiishi.
Na kila tukiwa na ugomvi mdogo tu mke atapiga simu kwa ndugu kunishtakia na ataanza kelele za kutaka kuachana.
Sometimes najiuliza huyu mwanamke ana upendo kweli na mimi au napoteza muda tu maana tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Nimemshauri aombe uhamisho aje tuishi pamoja labda hii migogoro ya hapa na pale itapungua anasema hawezi kuja kukaa pamoja na mimi n
Sasa wadau huyu mwanamke nimkalie kimya tu niendelee na life langu au hata sijui nimfanyaje.
Miaka yote tuliyoishi huyu mwanamke alikopa akajenga nyumba hapa ninapoishi mimi na nimefanya uendelezaji wa haya makazi.
Natamani niimwachie hii nyumba akae na watoto. Maana yeye anasema hawezi kuja kuishi hapa na mimi wakati nyumba ni yake sasa kuna faida gani mi kuendelea kuishi hapa na alishatamka mara kibao hapa hawezi kuja kukaa na mimi hata akihamia mkoa huu hawezi kuishi na mimi. Nipo njia panda na hii ndoa yangu ya mbalimbali.
Ushauri tafadhali.