Ugomvi bayana Alon Musk na warusha Rocket wengine USA

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Huyu jamaa ukiingia Twitter utaelewa sio mtu wa kawaida. Kuna kampuni mpya iko Marekani waafanya kazi wao kila kukicha wanaona afadhali ya jana

Sasa kumbe kuna vitu wanaviita debris (majabali) ambayo yamekua yaki aribu mno rocket angani. Nazani mmeyaona kwenye kwenye muvi za Skyfi sasa basi wamegundua ni mabomu ambayo yanatupwa kutoka kwenye satellite zilizopo angani za Space X.

Wafanyakazi ao wanalaumu mno kua ajira zao ziko ukingoni kukosa ajira maana wanashindwa kutengeneza radar yenye uwezo jambo ambalo space X linamuweka kwenye kupata utajiri mkubwa kwa kutengeneza mfumo mzuri kwa computer wakutuma na kupokea ujumbe kwenye radar..hii ni siri yake

Alivyo vumbua kile kigame chake cha aliens invasion ulikua ni ujumbe tosha kwa dunia kua soon atakua mungu wa anga na ndio maana lile game uwezi cheza bila kufail yani gameover afu unaambiwa busted

Ndo baadae wanakwambia new game yani mpaka ulimalize ni mwaka maana unacheza na cycle

Niliisi watu wengi wanajua sababu ya kampuni ya Space X kusajiliwa kwenye moja ya kampunu inayo miliki silaa kubwa!!?

Basi jua sababu

Maana hulipua wenzie angani

N.B unaambiwa zipo almost satellite nyingi juu angani ila ni siri mno maana huogopa ku be drained na watu wenye akili kama elon musk kwa kuambiwa alipe hela nyingi ili satelite zao zisilipuliwe labda ndo maana bongo amna wazo la kuanzisha karakana ya kutengenezea Rocket maana wakiambiwa watoe b12 alizo pewa billionaire laizer kila mwezi kama tunavolipa kodi kulamba chai yenye sukari kidogo,,,kubaki angani si tutarudi kwenye uchumi wa walala hoi

Sasa basi Alone Mask aliweza kitu ambacho kampuni zingine aziwezi

Yani program ya radar yake inapokea ujumbe wa kitu kilicho mbali na kukimbia haraka mtego akati wenzie wamegundua tu kitu kikiwa karibu mno kiasi kwamba akiwezi kukwepa kwa ufasaha maana tunajua sehemu walipo kuna upepo mkali na hamna graviti na hutumia moto mchache kwa ajili ya kuweza zunguka kufwata mahali wanapo taka wapachunguze either(mars) kwaio huwa avikimbii sana so ni rahisi lipuliwa na musk! Kwaio lazima alipwe kodi!

Iki kitu kinamfanya awe mjasiri alie jaa siri nyingi kwa namna anavyo pata hela

Ukitaka amini angalia TESLA kampuni yake ya magari yasio na dereva?

Ushangai kiaje hohoooo! Iyo ni radar inafanya kazi yani radar ikisaidiana na picha za satelite zake angani zenye uwezo wakutuma na kupokea ujumbe haraka mno...akapata TESLA.

Uyu jamaa ni shida ukiweza vumbua system radar kali kwa elimu yako ya basic inayo kuwezesha kusoma kingereza kiasi basi soma vitabu mchakato mzima wakutengeza radar au ata programming Language ili uweze kulink Radar yako na mawasiliano nacho kikiwa mbali kwa haraka utambeat Musk (future trillioner)

Soma bhana vitabu uje ata uwe kama Musk au bora kuliko yeye usiwaze tu kila siku hela ya udalali programmer atakuja kugundua udalali mzuri kwa digital ili kupunguza gharama za madalali uoni utakua ndocha?

Tusome vitu vigumu wenzetu walivyo vifanya nakutupa ujumbe kwa bei nafuu michakato yote ikiwa printed kukulisha ubongo wako unao waza ujichore tattoo ya diamond akakupe laki 6

Soma utengeneze simu yenye logo ya WCB pale ambapo apple hukaaga kwenye iPhone.

@mods huu uzi uwe displayed watu wajifunze
 
kama mtu hana akili hatakuelewa...kama kweli musk anaumiza satelite za wenzake kwa mabomu angeshughulikiwa ila ninachoona inawezekana debris ndo zinaumiza satelite ila musk ana technolojia ya kuikimbia haraka bila kuumizwa...usisahau musk ni muafrika!
 
Huyu jamaa ukiingia twitter utaelewa sio mtu wa kawaida!!! Kuna kampuni mpya iko marekani waafanya kazi wao kila kukicha wanaona afadhali ya jana😔

Sasa kumbe kuna vitu wanaviita debris (majabali) ambayo yamekua yaki aribu mno rocket angani.... nazani mmeyaona kwenye kwenye muvi za skyfi,,,, sasa basi wamegundua ni mabomu ambayo yanatupwa kutoka kwenye satellite zilizopo angani za space X!!,

Wafanyakazi ao wanalaumu mno kua ajira zao ziko ukingoni kukosa ajira maana wanashindwa kutengeneza radar yenye uwezo jambo ambalo space X linamuweka kwenye kupata utajiri mkubwa kwa kutengeneza mfumo mzuri kwa computer wakutuma na kupokea ujumbe kwenye radar..hii ni siri yake

Alivyo vumbua kile kigame chake cha aliens invasion ulikua ni ujumbe tosha kwa dunia kua soon atakua mungu wa anga na ndio maana lile game uwezi cheza bila kufail yani gameover afu unaambiwa busted!!
Ndo baadae wanakwambia new game yani mpaka ulimalize ni mwaka maana unacheza na cycle

Niliisi watu wengi wanajua sababu ya kampuni ya space X kusajiliwa kwenye moja ya kampunu inayo miliki silaa kubwa!!?

Basi jua sababu

Maana hulipua wenzie angani
N.B unaambiwa zipo almost satellite nyingi juu angani ila ni siri mno maana huogopa ku be drained na watu wenye akili kama elon musk kwa kuambiwa alipe hela nyingi ili satelite zao zisilipuliwe labda ndo maana bongo amna wazo la kuanzisha karakana ya kutengenezea Rocket maana wakiambiwa watoe b12 alizo pewa billionaire laizer kila mwezi kama tunavolipa kodi kulamba chai yenye sukari kidogo,,,kubaki angani si tutarudi kwenye uchumi wa walala hoi

Sasa basi alone mask aliweza kitu ambacho kampuni zingine aziwezi

Yani program ya radar yake inapokea ujumbe wa kitu kilicho mbali na kukimbia haraka mtego akati wenzie wamegundua tu kitu kikiwa karibu mno kiasi kwamba akiwezi kukwepa kwa ufasaha maana tunajua sehemu walipo kuna upepo mkali na hamna graviti na hutumia moto mchache kwa ajili ya kuweza zunguka kufwata mahali wanapo taka wapachunguze either (mars) kwaio huwa avikimbii sana so ni rahisi lipuliwa na musk! Kwaio lazima alipwe kodi!

Iki kitu kinamfanya awe mjasiri alie jaa siri nyingi kwa namna anavyo pata hela

Ukitaka amini angalia TESLA kampuni yake ya magari yasio na dereva!!!!?

Ushangai kiaje hohoooo! Iyo ni radar inafanya kazi yani radar ikisaidiana na picha za satelite zake angani zenye uwezo wakutuma na kupokea ujumbe haraka mno...akapata TESLA.

Uyu jamaa ni shida ukiweza vumbua system radar kali kwa elimu yako ya basic inayo kuwezesha kusoma kingereza kiasi basi soma vitabu mchakato mzima wakutengeza radar au ata programming language ili uweze kulink radar yako na mawasiliano nacho kikiwa mbali kwa haraka..utam beat musk (future trillioner)

Soma bhana vitabu uje ata uwe kama musk.. au bora kuliko yeye usiwaze tu kila siku hela ya udalali....programmer atakuja kugundua udalali mzuri kwa digital ili kupunguza gharama za madalali uoni utakua ndocha!!!?

Tusome vitu vigumu wenzetu walivyo vifanya nakutupa ujumbe kwa bei nafuu michakato yote ikiwa printed kukulisha ubongo wako unao waza ujichore tattoo ya diamond akakupe laki 6....

Soma utengeneze simu yenye logo ya wcb pale ambapo apple hukaaga kwenye iphone....

@mods huu uzi uwe displayed watu wajifunze
Mkuu Elon Musk yuko vizuri, ila kumbuka kuna Blue Orign Mmiliki wa Amazon, na wao ndiyo walitangulia kutengeneza rocket inayoweza take off na ikatua ikiwa imesimama vertically.
Kuhusu hayo mabomu itakuwa ni habari za kutunga hazina ukweli wowote.
By the way TESLA motors siyo kampuni ya kwanza na wala si kampuni pekee iliyoweza kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe na kutumia umeme.
Isipokuwa business model yake imekaa sawa, japo analaumiwa kwa kutoa ahadi nyingi asizotimiza, kuna watu wameweka order za magarimpaka leo hawajayapata. Ila wawekezaji wana imani naye sana.
Hata hiyo software inayotumika katika hayo magari na system waliinunua kutoka kampuni nyingine, hawakuitengeneza wao from zero.
Engine ya rocket za space X, nimodification ya engines za NASA walizokuwa nazo. Blue Origin wao wanatengeneza kilakitu from scratch, wanatest mpakakiwe perfect ndipo wanahamia kwenye jambo lingine.
Ndiyo maana Space X wamewahi kwakuwa hawana pesa nyingi kama Blue Origin, iliwabidi wachukue njia ambazo zitawawezesha kuanza kufanya biashara mapema na kuanza kuingiza pesa.
Hyperloop, ni kitu ambacho kimempa credits nyingine elon musk, hadi kuna wanaoamini ni wazo lake, kumbe lipo toka miaka ya 1940 huko. And by the way mpaka sasa hakuna mradi wowote wa hyperloop ambao umewezauwa successiful mika nane imepita toka waanze majaribio.
Tunaona tu 3D models, na alisema haina haja ya kifaa kuchongwa mbele maana kinapita kwenye tube no friction, Ila sasa wamegundua inabidi ichongoke kama bullet train. Yani alisema itakuwa a fraction ya cost ya kujenga mradi wa bullet train na itakuwa na speed kuliko ndege.
Sasa mradi mfano wa dubai umecost pesa nyingi mno na mbaya zaidi wameamua kuintroduce technology ya maglev yani haina tofauti na maglev inapita kwenye tube. The cost ni balaa, na bado hata mradi haujaanza kazi. Wengine wanasema ni sawa na utapeli wa Theranois
 
ukipata muda usome kuhusu project yake ya hyperloop
Imefail hii kitu miaka nane mpaka sasa hakuna ilipofanikiwa. Alisema cost ya kujenga ni chini ya compared na mradi kama wa bullet train, but cost imekuja kuwa mara zaidi ya nne.
Kufikia speed aliyosema watu wameamua hadi kuweka technology ya maglev, kumbuka hii ni train inayokimbia kuliko train zote na kutengeneza train na reli ni gharama balaa kwasababu train inakuwa kama vile inaelea kwenye reli.
Alisema kwakuwa itakuwa inapita kwenye tube ambapo hakuna hewa, haina haja ya kuchongoka mbele, lakini sasa wamegundua kufikia hiyo speed lazima ichongoke.
Yani kuna wanaosema hii ni sawa na theranois. Na kumbuka hili wazo lilikuwepo toka mika 1940 huko hakulianzisha yeye.
 
Mkuu uko nayo iyo documentary?
 
kama mtu hana akili hatakuelewa...kama kweli musk anaumiza satelite za wenzake kwa mabomu angeshughulikiwa ila ninachoona inawezekana debris ndo zinaumiza satelite ila musk ana technolojia ya kuikimbia haraka bila kuumizwa...usisahau musk ni muafrika!
Ila sasa alipakimbia maana afrika tuna system mbovu jap sA wanajaribu ila bado inawawia ngumu maana open door policy iko kwa wenye nazo tu kwa kudidimiza wengine
 
Mkuu uko nayo iyo documentary?
Hapana mkuu, check channels za technology youtubes utakutana nazo. Hata jinsi Tesla walivyocopy body design ya lile gari kubwa la NIKOLA, akawapeleka mahakamani ila tesla atamshinda maana NIKOLA alidanganya kuwa kaidesign yeye kumbe naye alinunua toka kwa designer wa magari mdogo huko Croatia, so ilibidi aseme hilo, na tesla analijua hilo.
 
kama mtu hana akili hatakuelewa...kama kweli musk anaumiza satelite za wenzake kwa mabomu angeshughulikiwa ila ninachoona inawezekana debris ndo zinaumiza satelite ila musk ana technolojia ya kuikimbia haraka bila kuumizwa...usisahau musk ni muafrika!
Ni mzungu aliyezaliwa Africa acha kuleta ishu za Wakenya bhana
 
Imefail hii kitu miaka nane mpaka sasa hakuna ilipofanikiwa. Alisema cost ya kujenga ni chini ya compared na mradi kama wa bullet train, but cost imekuja kuwa mara zaidi ya nne.
Kufikia speed aliyosema watu wameamua hadi kuweka technology ya maglev, kumbuka hii ni train inayokimbia kuliko train zote na kutengeneza train na reli ni gharama balaa kwasababu train inakuwa kama vile inaelea kwenye reli.
Alisema kwakuwa itakuwa inapita kwenye tube ambapo hakuna hewa, haina haja ya kuchongoka mbele, lakini sasa wamegundua kufikia hiyo speed lazima ichongoke.
Yani kuna wanaosema hii ni sawa na theranois. Na kumbuka hili wazo lilikuwepo toka mika 1940 huko hakulianzisha yeye.
Unaijua Virgin Hyperloop?
 
Unaijua Virgin Hyperloop?
:D:D:D:D:D Hiyo mpaka leo imefanikiw kufanya small scale testing na haijawahi kufanya test ya kusafirisha binadamu.
elon Musk mwenyewe alifanya shindano na wabunifu kibao walishiriki, ila walioshinda walikuwa na kitransporter kidogo kama kitoy na hakikuwa kimebeba kitu chochote. Yani hata kwenye hilo shindano hakuna aliyethubutu kupandisha mtu.
Hata hiyo Virgin Hyperloop iko kwenye small scale na wala hakuna test waliofanya wakainvolve binadamu.
Mwaka wa nane toka hii concept imeanza kufanyiwa kazi we still have a long way to go na wala haitakuwa cheap kama Elon alivyosema mwanzo.
 
Nahisi hizi ni moja ya long term projects za Elon maana ukimfatilia anaprojects nyingi sana kutoka kwenye kampuni zake. Me nahisi tumpe mda kwanza.
Virgin naona wao wapo serious kidogo.
 
Nahisi hizi ni moja ya long term projects za Elon maana ukimfatilia anaprojects nyingi sana kutoka kwenye kampuni zake. Me nahisi tumpe mda kwanza.
Virgin naona wao wapo serious kidogo.
Yani ile ilikuwa ni open source aliitoa kila mtu afanye anavyoona inawezekana, hata India wamebuni yao, wengine wanafunga jet engine, wengine maglev lakini kitu ambacho wote wamekubaliana kwa sasa, ni kwamba kutengeneza full functioning hyperloop haiwezi kuwa cheap kama alivyosema elon musk.
 
😃 😃 Kiongozi inaonekana haumkubali Elon kabisa.

Una experience na maswala ya Laser Technology?
 
😃 😃 Kiongozi inaonekana haumkubali Elon kabisa.

Una experience na maswala ya Laser Technology?
Hapana mkuu sio kama simkubali ila yani jamaa ni mbabe mno and iyo kitu inamfanya anakua phycho ndo maana anaweza ata vuta bangi akiwa anaojiwa wote tunajua weed inakupa confidence kwa wale baadhi sasa yeye alikua anajiandaa ki phscholgy kubana siri zake kwa kujibu strategically and ili aweze ivo ilimpasa ale weed
 
Musk sio mwafrika bali amezaliwa africa tu na hivyo haimaanishi ana vinasaba vya kiafrika.

Musk ni muafrika kisheria na si vinginevyo.

Swali zuri kwanini ajafanya chochote africa ili kuondoa umasikini bali amewaacha hao waafrika wanauana wenyewe kwa wenyewe?
Naisi uyu jamaa he doesn't consider human kabisa yeye kalalia mno teknologia ni vizuri pia lakini sindio maana asingeweza kusuluhisha maana tunajua pia siasa SA ni za kibeberu japo wana representiwa na watu weusi bungeni ili kuzima uma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom