Nina furaha kuwatangazia watanzania wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembelewa na Rais wetu akitokea South Afrika na atakuwepo nchini kwa mapumziko mafupi kabla ya kusafiri tena wiki ijayo.Wenye matatizo ya kuhitaji ufumbuzi wake waandike barua na kumpa Waziri mkuu ambaye atamkabidhi atakapokuja tena kupumzika safari nyingine.
Hapo penye nyekundu hapo...
John Walker
vasco da gama
Wakuu mnadhani mapumziko haya yatakuwa ya siku ngapi ? otea,atakaye toa jibu sahihi kuna ZAWADI nono.Javier Perez de cueller
Just the way he is doing it.....that is how he is doing it!Kweli JK ananifnya niichukie nchi yangu. How can he do this to us?
Tukitilia maanani kuwa mwezi ujao ni Ramadhan, atakuwepo nchini kwa wiki 3 kuanzia sasa.atakuwa na mapumziko ya siku 3.
atakaa wiki moja tu kwa ajili ya kuulizia ishu ya jairo akishapata ubuyu huo anaendelea na uvumbuzi wa dunia..Wakuu mnadhani mapumziko haya yatakuwa ya siku ngapi ? otea,atakaye toa jibu sahihi kuna ZAWADI nono.
Nakubaliana na wewe kuwa si yeye anayefanya maamuzi ndo maana Waziri Mkuu Pinda alisema si Bunge, Mahakama,TAKUKURU,usalama wa Taifa,Ikulu wala Yeye anayeweza kutoa maamuzi mpaka Vasco Da Gama atoke South Africa ndo aamue nn cha kufanya!kwa hiyo nyie shida yenu ni nini? Mlitaka muwe mnamwona ofisini kila siku. Au huko ambako huwa anakwenda huwa anajipeleka tu? I believe and I will always believe kwamba Rais haamui tu kwamba aende huku au kule kama si tu ana mwaliko au kuna mkutano unaomtaka awepo au kuna jambo la msingi analokwenda kulifanya kama sehemu ya uwakilishi wa taifa.
Hilo nalo neno,nakukubalia 100/=!Ushauri wangu ni kwamba tuombe nchi za nje zisimpe mualiko tena.