Internet ikizimwa hakuna VPN itaweka nywinywi nywinywiKwa mwezi Mzima waganda wote wamepakua VPN matata sana, Walishajiandaa
Museven atang'olewa kama alivyoingiaUjinga unaambukiza
Eti anataka kuona bomba la mafuta la hoima linafanya kazi kwenye utawala wake kabla hajafa.Mtu mweusi ni tatizo sana huyo M7 yupo madarakani miaka 40 sasa ni kitu gani anahitaji zaidi ya kupumzika? Na kuona matunda yake hivi hawa viongozi yeye na kagame huwa hawawazi ipo siku watakufa? Kwahiyo ikiwa hawataki wengine waongoze siku wakifa nani ataongoza hizo nchi?
Afrika, afrika, afrika, bara la giza!Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa.
Kwa mujibu wa agizo hilo, waendeshaji wote wa mitandao ya simu na watoa huduma za intaneti wametakiwa kusitisha huduma hizo kuanzia Januari 13, 2026 saa 12 jioni hadi itakapotolewa taarifa nyingine ya kurejesha huduma.
Huduma zilizosimamishwa ni pamoja na upatikanaji wa intaneti kwa umma, uuzaji na usajili wa SIM kadi mpya pamoja na huduma za data roaming kwa nchi wanachama wa One Network Area.
Hata hivyo, huduma muhimu kama mifumo ya afya, benki, ATM, malipo ya kodi, mifumo ya serikali, umeme, maji, mafuta, usafiri na usalama wa mitandao zimeruhusiwa kuendelea kufanya kazi kupitia intaneti isiyo ya simu.
UCC imesisitiza kuwa matumizi ya mitandao ya kijamii, programu za ujumbe na VPN za simu yakipigwa marufuku kabisa.
Soource: Uganda Communications Commision
Lijamaa limekaa madarakani zaidi ya 40 years lakini bado tu linashikilia bango ,africa sisi tulilaaniwa na ndio maana mzungu alituletea kila kitu kuanzia dini, technologia na mengineyo.Kiufupi tulikuwa dark continent ndo naanza kuamini kisawasawa hio ishu
Ina maana Trump hakukosea kuiita Afrika HOLE SHIT?!Kweli kabisa mkuu.
Kuna aliyejiandaa kutamatisha utawala wa Museveni? Maana alishasema hawezi kuachia kwa njia ya makaratasi(kura).Mwisho wa Museven umefika rasmi
Safari hii Waganda watamng'oaKuna aliyejiandaa kutamatisha utawala wa Museveni? Maana alishasema hawezi kuachia kwa njia ya makaratasi(kura).
Wanaongeza internet na kuhakikisha hakuna tatizo lolote kwenye mifumo ya mawasilianoHivi Wadhungu na wao huwa wanazima INTERNET kila wafanyapo chaguzi?..Afrika KAZI kweli kweli