Uganda yafungia Vituo vya redio vya nje

Uganda yafungia Vituo vya redio vya nje

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
45,429
Reaction score
95,911
Polisi nchini Uganda imesimamisha upeperushaji wa matangazo ya vituo kumi vya radio, ambavyo vinasemekana vimekuwa vinatumia kinyume cha sheria mitambo ya shirika la utangazaji linalomilikiwa na serikali, UBC. Miongoni mwa radio hizo kumi ni BBC, radio France international- na televisheni ya Kenya ya CITIZEN. Mashirika mengi hukodisha mitambo ya shirika hilo la serikali UBC.
 
Back
Top Bottom