Mlimazunzu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 415
- 52
Hatimae ule usemi wa kwamba wanawake wanaweza umetimia baada ya Mh. Rebecca Kadada kumshinda mpinzani wake ktk kiti cha Uspika Nchini Uganda kwa kura nyingi mno 302 vs 57. Hongereni wanawake wote Duniani nawapenda