Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,143
Reaction score
56,407
πŸ“Œ Happening Today

California, United States

Calling on the @realDonaldTrump
's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through:

1). Targeted sanctions
2). Suspension of funding
3). Suspension of security assistance, defense cooperation and training Ugandan military.
 
Kuna ripoti nimeisoma jana imenishangaza kuwa Marekani inaiona Uganda ni muhimu kuliko Tanzania katika suala zima la usalama katika ukanda huu.
 
Hata yule kigagula mwenzenu mangekimambi na genge lake waliandamana Marekani, iliwasaidia nini?
 
Hata yule kigagula mwenzenu mangekimambi na genge lake waliandamana Marekani, iliwasaidia nini?
Utakuja kujua tu kinachoendelea, siku hizi mama yenu unamuona akicheza taarabu kama zamani.
 
Utakuja kujua tu kinachoendelea, siku hizi mama yenu unamuona akicheza taarabu kama zamani.
Sahizi hana muda wa kucheza ana muda wa kuwanyoosha nyumbu
 
M7 huyu ni noma tangu nipo chalii bado anakula bata ikulu

Ina maana hatoki mpk akate moto
Waganda kazi wanayo!
 
Hata yule kigagula mwenzenu mangekimambi na genge lake waliandamana Marekani, iliwasaidia nini?
Ungekuwa una akili ungejua huyo muuaji wenu maisha anayoyapitia kwa sasa, na hapo siyo mwisho.
 
Ila akili za mwafrika ni za ajabu.
Kila race duniani inajipambania yenyewe. Ila sisi tunataka watu wa race nyingine waje watupambanie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…