Uganda Vs Rwanda kimenuka

Source ya takwimu yako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Museveni sio Baganda. Mind you.
 

CC Jestkilla zitto junior
 
Hakuna vita hapo ingawaje ikitokea kagame atashinda sababu ya vifaa na technlogia huku mseveni hana teknolojia na jeshi lake haliko Pamoja...Magu atakuwa neutral ingawaje ana uwezo wa kuwachapa wote kwa Pamoja akiamua
 
Kumbuka namna alivyoingia madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani ameingizwa na nani?

Si hao wanyarwanda wakina Rwigema aliyekua deputy comander, wakina Kagame etc ndio waliounda NRA.

By the time M7 anachukua nchi wapiganaji zaidi ya 5000 walikua hao wanyarwanda wkt jeshi zima la NRA likiwa na wapiganaji 16,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa unaweka na nyama nyama kidogo, Tatizo lako huwa unaandika kwa kuibia mno, incomplete information

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita hiyo haiepukiki Ni lazima wapigane hata Kama siyo leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ngum sana hii...tukimboa museveni bomba LA mafuta kwishney......someone might be moving around......hivi COWI iliishiawapi?
 
Kwanza wao shida ni nini hadi wagombane?
Kusema kweli kuna sababu ya msingi yakutaka kupigana au ni kitu kinachoweza kusuluhishwa na Wazee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…