Uganda Vs Rwanda kimenuka

Nasema Hivi PAUL KAGAME ACHAPWE TU!!! maana hamna Namna na UPDF Wakimaliza Kumtandika kumtandika Kagame waje Wachukue na Hawara Yake JIWE hapo Magogoni Shubaamitt!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M7 na Mr Slim ni majasusi isije ikawa wametengeneza Picha waonekane wana uhasama kumbe ni conspiracy maana sijaelewa chanzo cha uhasama wao.
Chanzo cha Uhasama wao ni Serikali ya Museveni Kuwatamata na Kuwanyanyasa Raia wa Rwanda waliopo nchini humo kwa Kisingizio cha Kwamba ni Majasusi na Wametumwa Kufanya Ujasusi Nchini Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda kwa mwaka jana ali-export to Rwanda biashara yenye thamani ya $197mil.

Wkt Rwanda yeye alifanya export to Uganda yenye thamani ndogo tu ya $20mil only.

So techinically hapo M7 yuko anashughulikiwa kiuchumi taratiiibu.

Vita za siku hizi ni za kiuchumi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Uganda akiingia tu kwenye hii kitu ,ataondoka yeye angejifanya mdoo tu kama piriton waelewane.Sioni Mzee wa Uganda kama atachomoka kwa rwanda
Amini nakwambia Rwanda itachapika Vizuri sana mbele ya Uganda ndio maana Uganda haijapeleka majeshi yake mpakani mpaka sasa kwani Kigali can be Destroyed by an Artillery from Mbarara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni wazimu, sisi tuko katika vita ya kiuchumi


ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Chanzo cha Uhasama wao ni Serikali ya Museveni Kuwatamata na Kuwanyanyasa Raia wa Rwanda waliopo nchini humo kwa Kisingizio cha Kwamba ni Majasusi na Wametumwa Kufanya Ujasusi Nchini Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
How many Rwandans have been kidnapped and brought back to Rwanda from Uganda, against their will? Ujasusi wa Rwanda. Yule mkuu wa polisi was on their payroll
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…