Uganda Vs Rwanda kimenuka

Mnyama sukhoi huyo,nasikia sisi tuko mchakato wa kumchukua pacha wake mig 21 kiboko ya f 15
Tz mig -21 wanazo kitambo saaana ndege ambazo tz walikuwa na plan ya kuzichukua ni mig -29 ambazo walipewa ofa ya punguzo mara tatu ya bei halisi lkn tz wakagoma walidai hakuna tishio lolote la vita ila walipeleka tu pilot kujifunza kuzitumia

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hapo inaonyesha ziko kwenye plan za kuzinunua
 
Update ni kwamba rwanda wapo ktk ujenzi wa mpaka wao lkn pia wamewazuia raia wake kuingia Uganda lkn kwa upande wa uganda raia wao wanaingia rwanda kama kawaida isipokuwa magari ya mizigo hairuhusiwi kiingia rwanda tokea uganda ..😁😁😁😁😁
 
Binafsi kobiashara nimeona hili Ganda wana poteza pesa nyonginmaana kuna habar nimeona Ug wanapata pesa karibia 127 $ million wakat Rwanda wanapata 20 m $
 
Hapo M7 anashughulikiwa kimya kimya,waziri wa mambo ya nje wa Rwanda nimemsikia akisema wala hilo suala la Uganda kwao sio tatizo kubwa kwao cz walishapitia matatizo makubwa kuliko hayo na khs bidhaa amesema wanaoption nyingine ya kufikisha mizigo huko Rwanda.

So nadhani soon Bongo tutaanza kupiga pesa maana bidhaa itabd zianze kupitia border ya Rusumo,so tuombee waendelee kuzinguana huku si mpunga unaingia fresh tu.

Lkn nasikia Malori ya Uganda yamepandishiwa fee kuingia Rwanda na basi linalotoka Rwanda kwenda Uganda likikutwa limebeba Mnyarwanda then jamaa wa Rwanda wanalipiga fine $5000 kwa kila kichwa cha mnyalu.

So hii ni kiuchumi zaidi naona.

Binafsi kobiashara nimeona hili Ganda wana poteza pesa nyonginmaana kuna habar nimeona Ug wanapata pesa karibia 127 $ million wakat Rwanda wanapata 20 m $



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atawasaidia wapatane ila shida ni kwamba nahisi M7hatokubali kutishiwa nyau nakmbuka kikwete aliwatimua raia wa rwanda kule kaskan mwa Tz nahisi m7na yy soon ataliamsha dude
 
wapigane tupate fursa ya kuwauzia siraha na chakula maana hawatakuwa na muda wa kulima tena. Production itashuka
 
Rwanda wanadai wanakarabati barabara upande wao lakini swali la kujiuliza ni kuwa magari yanayokwenda Congo na Burundi yanaruhusiwa kupita na kuendelea na safari na watu wenye magari madogo pia, isipokuwa magari ya mizigo yanayoingia kuelekea rwanda ndo yanazuiliwa. KWANINI?
 
nAKUUNGA MKONO JAPO NABII KWAO HAKUBALIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…