Uganda: Mwanamuziki aliyetekwa na kutolewa jicho afariki

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,521
9,325
Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Ziggy Wine amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Kifo hicho imeelezwa kuwa kimesababishwa na majeraha mazito aliyoyapata baada ya kutekwa.
Image result for ziggy wine
Ziggy Wine
Ziggy Wine alitekwa wiki iliyopita na alipatikana Jijini Kampala siku tatu baadae (Jumamosi ya wiki iliyopita) akiwa ameng’olewa kucha na jicho moja.

Ziggy Wine alikuwa ni mmoja wasanii waliochini ya mwavuli wa People’s Power unaoongozwa na Bobi Wine.

Sababu za kutekwa msanii huyo bado hazijajulikana na jeshi la polisi nchini humo limeahidi kuwatafuta watekaji hao kwa udi na uvumba.

Kufuatia tukio hilo, Wasanii kibao akiwemo Jose Chameleone wameomboleza msiba huo na kuahidi kutafuta suluhu ya kukomesha vitendo hivyo vya utekaji.
 
Hiyo ni kazi ya m7 kuua washiriki wa bobwine ili kumjengea hofu hasigombee uraisi mwaka 2021, kwanza dereva wake Bobwine Kauma alipigwa lisasi mchana kweupe katika mji wa Arua.....usichezee dictetor yoyote nimakatili sanaa ili wajengee hofu wananchi wao waogope ku wapinga hizo ndo mbinu za m7, Kagame, nawenzao.......ila za mwizi ni 40 tu, M7 antaondolewa tu, Waganda wamesha mchoka
 
Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Ziggy Wine amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Kifo hicho imeelezwa kuwa kimesababishwa na majeraha mazito aliyoyapata baada ya kutekwa.
Image result for ziggy wine
Ziggy Wine
Ziggy Wine alitekwa wiki iliyopita na alipatikana Jijini Kampala siku tatu baadae (Jumamosi ya wiki iliyopita) akiwa ameng’olewa kucha na jicho moja.

Ziggy Wine alikuwa ni mmoja wasanii waliochini ya mwavuli wa People’s Power unaoongozwa na Bobi Wine.

Sababu za kutekwa msanii huyo bado hazijajulikana na jeshi la polisi nchini humo limeahidi kuwatafuta watekaji hao kwa udi na uvumba.

Kufuatia tukio hilo, Wasanii kibao akiwemo Jose Chameleone wameomboleza msiba huo na kuahidi kutafuta suluhu ya kukomesha vitendo hivyo vya utekaji.
NI MAPEMA SANA KUSEMA NI UPANDE GANI NDIO UMEHUSIKA NA MAUAJI, LAKINI KUKAA UPANDE DHIDI YA UTAWALA NI JAMBO HATARISHI KTK NCHI KAMA YUGANDAH
 
Jose mseng tu yule hana lolote lao moja na M7 lakini M7 asifikiri Waganda ni Watanzania
 
Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Ziggy Wine amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Kifo hicho imeelezwa kuwa kimesababishwa na majeraha mazito aliyoyapata baada ya kutekwa.
Image result for ziggy wine
Ziggy Wine
Ziggy Wine alitekwa wiki iliyopita na alipatikana Jijini Kampala siku tatu baadae (Jumamosi ya wiki iliyopita) akiwa ameng’olewa kucha na jicho moja.

Ziggy Wine alikuwa ni mmoja wasanii waliochini ya mwavuli wa People’s Power unaoongozwa na Bobi Wine.

Sababu za kutekwa msanii huyo bado hazijajulikana na jeshi la polisi nchini humo limeahidi kuwatafuta watekaji hao kwa udi na uvumba.

Kufuatia tukio hilo, Wasanii kibao akiwemo Jose Chameleone wameomboleza msiba huo na kuahidi kutafuta suluhu ya kukomesha vitendo hivyo vya utekaji.
Daaah..
R.I.P daah
 
NI MAPEMA SANA KUSEMA NI UPANDE GANI NDIO UMEHUSIKA NA MAUAJI, LAKINI KUKAA UPANDE DHIDI YA UTAWALA NI JAMBO HATARISHI KTK NCHI KAMA YUGANDAH
sio uganda peke yake, ni almost nchi zote za africa.

kuwa upande wa upinzani barani africa ni kuiweka rehani roho yako.

inabidi uwe tayari umeshaandika usia ili kifo cha utata kikikupata mke na watoto wako wasipate shida ya kuhangaika mahakamani kufatilia mirathi yao.
 
Andika vizuri basi bosi au unaishi mamtoni nini kiswahili kimekupiga chenga.
Hiyo ni kazi ya m7 kuua washiriki wa bobwine ili kumjengea hofu asigombee uraisi mwaka 2021 kwanza dereva wake Bobwine Kauma alipingwa lisasi mchana kweupe katika mji wa Arua.....usichezee dictetor yoyote nimakatili sanaa ili wajengee hofu wananchi wa waogope ku wapinga hizo ndo mbinu za m7, Kagame, nawenzao.......ila za mwizi ni 40 tu, M7 antaondolewa tu, Waganda wamesha mchoka
 
NI MAPEMA SANA KUSEMA NI UPANDE GANI NDIO UMEHUSIKA NA MAUAJI, LAKINI KUKAA UPANDE DHIDI YA UTAWALA NI JAMBO HATARISHI KTK NCHI KAMA YUGANDAH
Ni dhahiri kwa asilimia kubwa m7 kafanya hayo mauwaji nitabia yake kuua wapinzani wake kwa kutumia vyombo vya Usalama, hususani police na jeshi unakumbuka Mpizani moja alikuaga police Kilumira muhammad alipingwa lisasi mchana mgine Kawesi nayeye alipigwa lisasi mchana hiyo nitabia ya huyu Dictetor wa Uganda......anahofu kama nini katawala miaka 34 lakini bado hajaridhika, Mungu asaidie nchi yetu tusijekupata mtawala kama m7.
 
mpate mara ngapi huko tz
 
Africa kama tulilaaniwa tu....baada ya kumuondoa mkoloni tunapitia changamoto kubwa zaidi za watu wachache, wapumbavu tu..wanaojiona Miungu watu na utafikiri wana hati miliki ya nchi wanazotawala.Hivu kweli miaka 34 mtu bado unatawala tu...na wanaokuzunguka wanaona ni sawa tu......ajabu kabisa.....

Na nyie waganda mbona hamjielewi...hivi kweli na ujuaji wenu wote huyo Mseveni kawashinda.....????
 
Back
Top Bottom