Polisi Uganda: Kifo cha Ziggy Wine kimesababishwa na ajali ya pikipiki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,697
2,000
Police nchini uganda wamesema katika uchunguzi wao kifo cha Ziggy Wyne kimesababishwa na ajali ya pikipiki yake aliyo kuwa akiendesha mwenyewe sasa,ww tizama kwa makini picha zote za pikipiki ambayo police wanasema niya Ziggy Wine alafu tizama kwa makini pikipiki aliyo kalia Ziggy Wine ambayo ndo yake mwenyewe.

1565174238341.jpeg

1565174270637.jpeg
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
3,673
2,000
Nilisikia BBC Asubuhi nikacheka Sana....Kwa huzuni...na kwa mshangao ila nikapigia mstari na This is Africa
 
Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,134
2,000
Sehemu ya tank LA mafuta naona pana tofautiana kwa rangi,,,,,,labda kama wameibadili haraka na kupiga picha
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,927
2,000
Police nchini uganda wamesema katika uchunguzi wao kifo cha Ziggy Wyne kimesababishwa na ajali ya pikipiki yake aliyo kuwa akiendesha mwenyewe sasa,ww tizama kwa makini picha zote za pikipiki ambayo police wanasema niya Ziggy Wine alafu tizama kwa makini pikipiki aliyo kalia Ziggy Wine ambayo ndo yake mwenyewe.

View attachment 1174506

View attachment 1174507
Jeshi la Uganda wangemkodisha Kamanda Kova awaandikie hii script.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom