Uganda kuwaondoa kazini askari wenye vitambi

Uganda kuwaondoa kazini askari wenye vitambi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,802
Reaction score
38,020
Serikali ya uganda imepanga kuondoa maaskari wote wenye vitambi;akiongea kwa huzuni mkuu wa mapolisi wa uganda amesema ni kweli serikali iko kwenye mchakato;unajua wale tunawaweka sehemu maalum;sasa kwenye mabank wazee wa kazi wakija ;awapigi hata kelele na wengi silaha zao huchukuliwa kirahisi.....
Mhhhh jamani uganda na nyie;hili zoezi wakija si wanaanza na MKUU WA TRAFIKI
MZEE KOMBE ;NAHISI KUWAMALIZA WOTE NA KUFANYA INTERVIEW UPYA
MUNGU AJALIE MAANA NDUGU ZETU WENGIN WEMENENEPEANA VITAMBI BARABARANI UKIWAONDOA SIJUI
 
Back
Top Bottom