joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Scientific researches zote zinaonyesha kwamba, wakenya wengi awe amesoma au hakusoma wanaelewa Kiswahili, wakati Kiingereza ni chini ya 45%. Wewe unazungumza kutoka kichwani kwako, vile unavyohisi kutokana na unavyoona katika mazingira au sehemu unayoishi, lakini hata wenzako wote hapa JF wabakubali kwamba wakenya wengi wanaelewa vizuri kiswahili kuliko kiingereza, swali ni kwanini viongozi wenu wasitumie lugha ya taifa ambayo sio tu kwamba inaeleweka kwa watu wengi, lakini pia ni lugha yenu ya taifa?.I doubt ni less that 45%. Unajua as long as anyone has gone through school ako na uwezo wa ku understand. Maybe tuseme the older generation, 70s and above hawaelewi. So a majority of Kenyans may have an idea what Uhuru is saying but ukiwaambia wazungumze they wont be able.
Story za media ni something else, guess kitambo, Kiswahili was the poor mans language, the commoner. And commoners hawawezi afford gazeti. And I doubt anyone would be comfortable reading a newspaper in Kiswahili here.Kuna vile it doesnt feel right.