Uganda, Kenya, Rwanda: Hatutarudi nyuma

Uganda, Kenya, Rwanda: Hatutarudi nyuma

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,846
Reaction score
18,114
Akihojiwa na BBC, Waziri wa Afrika Mashariki wa Uganda amesema wataendelea na mipango yao ya kiuchumi licha ya kushutumiwa na baadhi ya watu kuhusu ushirika wao wa siri.

Aidha ameshutumu wote wanaolaumu kutengwa kwa Tanzania na Burundi katika mipango hiyo licha ya nchi hizo kuwa sehemu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki!

Hata hivyo mbuge mmoja wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi amesema kuwa si busara kuzitenga Tanzania na Burundi hata kama miradi hiyo haitajengwa katika nchi zao kwa kuwa nazo ni sehemu ya Afrika Mashariki na kwamba wananchi wao wana maslahi kwa namna moja au nyingine!
 
Urafiki wa mashaka, M7 anautaka kwa udi na uvumba urais wa Africa mashariki (kwake Tanzania ndio ilikua kikwazo), Kenya wao wanaona fursa ya biashara kupitia Bandari, again Tanzania ndio mpinzani wake kibiashara hapo (though hili inabidi tujilaumu kwa uzembe wetu katika biashara) so Mkenya anaona ni bora ufanye fitina ili sisi tutengwe, Kagame yeye kachukizwa na Tanzania kupeleka majeshi yake Congo, anatafuta njia ya kujilinda ili abaki madarakani, shida iko hapa, siku M7 akishindwa kupata anachokitaka UMOJA huo ndio utakua mwisho wake, nafuu yetu ni hii, UMOJA uvunjike kabla hiyo Reli haijajengwa, ikijengwa tu hata Congo nao watahamia Bandari ya Mombasa na sio Bongo tena cause Reli ya kati kwetu iliisha kufa siku nyingi.
 
Bila shaka yo yote ushirika wao utasambaratika mmoja wa viongozi akiondolewa madarakani kwa kuwa umoja huu hauna ridhaa ya wananchi!

Si hivyo tu umoja huo ni wa watu wenye hasira tupu.Uganda wakileta za kuleta kugombea kisiwa cha Migingo NA kenya MKENYA anafunga mpaka hakuna bidhaa za Rwanda na Uganda kupita barabara za Kenya NA Kwenda bandari ya MOMBASA.Ghafla wanajikuta land locked chumi zao zinaporomoka kama elnino.

Uganda na Rwanda wakikorofishana majeshi yao yakatwangana ndani ya kongo Uganda INAFUNGA mpaka Rwanda asithubutu kupitia Uganda kumkomesha matokea Rwanda na kenya zinajikuta land locked haziwezi fikiana na hazina kwa kugeukia.Tanzania ndio ya kusaidia ku-balance wote likitokea la kutokea wakenya,waganda,wanyarwanda waweza tumia routes za reli,barabara au bandari za tanga na Dar kufikiana just in case likitokea la kutokea kati yao na mihasira yao.Ndio maana mifumo yote ya miundo mbinu ilibidi ihusishe Nchi zote za Afrika Mashariki ikwemo Tanzania.Wakiwekeza sana nchi zao hizo tu political Risks zao ni kubwa waweza jikuta matatizoni likiibuka la kuibuka kati yao.

Kukosa PLAN B kwa ku-ignore Tanzania ni at their own risk.Katika huo uhusiano wote wako katika risk.Tanzania ndio neutralizer wa wote.Wakiiacha mbele sijui watakimbilia wapi.
 
Akihojiwa na BBC, Waziri wa Afrika Mashariki wa Uganda amesema wataendelea na mipango yao ya kiuchumi licha ya kushutumiwa na baadhi ya watu kuhusu ushirika wao wa siri.

Aidha ameshutumu wote wanaolaumu kutengwa kwa Tanzania na Burundi katika mipango hiyo licha ya nchi hizo kuwa sehemu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki!

Hata hivyo mbuge mmoja wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi amesema kuwa si busara kuzitenga Tanzania na Burundi hata kama miradi hiyo haitajengwa katika nchi zao kwa kuwa nazo ni sehemu ya Afrika Mashariki na kwamba wananchi wao wana maslahi kwa namna moja au nyingine!

Tuna majirani wenye vichwa vigumu sana kama aina moja ya samaki kule ziwa victoria anaitwa 'gogogo' kwa lugha yangu ya mama. Kikubwa kwa watanzania ni kutambua aina ya majirani hawa, na kujifunza njisi ya kuishi nao katika hali zote, na kuchukua tahadhari zote pale wanapotaka kuleta za kuleta.
 
Plan B.

Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.

Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
 
Huko tuendako itakuwa hivyo, lakini sisi hatutaona hayo mambo labda wajukuu zetu.
 
plan b.

Tanzania,burundi na congo zianzishe community yao "the great lake community" na baadae inaweza kuwa federation.tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa uganda,kenya na rwanda walioko makao makuu ya ea arusha wawereplace na wafanyakazi wa congo watakaoungana na watazania na burundi.

Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko ea.

like! Like! Like! Like! Like!
 
EAC na ife tu SADC ndo mpango mzima kwetu.

SADC ndio mpango mzima. Hata sisi wapenda mpira wa miguu, ni bora kujiunga na COSAFA yenye Nchi zenye Viwango vya juu kuliko uozo wa CECAFA ya Kenya, Uganda na Rwanda yenye ubabaishaji mtupu!
 
Plan B.

Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.

Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.

Mkuu, uko sahihi kabisa!
 
Pongezi kwa ile Tume ya Raisi Kikwete ya maoni "Referendum" kuhusu kushirikiana katika umiliki ardhi , ya Prof. Wangwe. Ama sivyo tungekuwa pabaya leo. Bravo JK. Rwanda kujiingiza haraka haraka EAC na kumpachikia raia wake ukatibu/ Secretary - wa EAC - Richard .... walikuwa nalo jambo. Maraisi wanaorekebisha Katiba na kujiongezea miaka 8+ (Ka-mchezo na M7) madarakani na warithiwe na wake na watoo wao waogopwe kama cancer. Hakuna uendelevu/ sustainability hapo. Nyerere hakukosea kumwita/ waita baba mtu (UK) "Nyang'au" / Manyangau, sasa ona mtoto wa nyoka ni nyoka (Like father like son) Let them GET LOST! disappear!.
 
eac ni janja ya nyani.
mwenzenu nnavyoona ni kwamba kenya wanajua ni mda mfupi tu atachuchumaa kwa kuwa kwa watz
1: tumestukia mchezo wake mchafu aliokuwa akitufanyia kwenye secta ya utalii. mfano fuatilia data za flow za watalii kat ya tz na kenya 2012
2: wanahofia soko la product za viwanda vyao kwan soon bomba la gesi likicomplete, gharama za uzalishaji zitashuka hivyo watashindwa kucompete.
3: ARDHI
Hongera JK kwa kuwastukia hao wehu.
Mungu ibariki TANGANYIKA, Mungu ibariki TANZANIA.
 
Plan B.

Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.

Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.

Duuuuuuuuuu ama klweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Big dili ni kuwacontain warundi kisha Congo tunapiga kazi kama alivyopendekeza mdau hapo juu alafu mambo kadhaa kama ya mpira tunajiunga na wenzetu akina COSATA kwisha habari yake,hawa wahuni wa EAC tunaachana nao mazima tena raia wao nao warudi makwao na mipaka ilindwe extensively
 
Hata hivyo mbuge mmoja wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi amesema kuwa si busara kuzitenga Tanzania na Burundi hata kama miradi hiyo haitajengwa katika nchi zao kwa kuwa nazo ni sehemu ya Afrika Mashariki na kwamba wananchi wao wana maslahi kwa namna moja au nyingine!

Nilimsikiliza huyiu mama yuko fit kuanzia kiswahili hadi hoja zake.Niliwahi hata kumsikiliza waziri wao wa mambo ya nje wakati fulani mwanamke anaitwa Antoinette Batumubwira ana hoja za nguvu sijapata ona.Wanawake wa Burundi walioko kwenye siasa vichwa vyao vizuri na wana hoja kali na wametulia kuliko viongozi wengi wa kike kwenye nchi za Africa mashariki ikiwemo Tanzania.Nafikiri akina mama wanasiasa wana kitu cha kujifunza kwa wanawake wanasiasa wa kike wa burundi.Wanawake wanasiasa wa burundi wanaweza sio utani.
 
Big dili ni kuwacontain warundi kisha Congo tunapiga kazi kama alivyopendekeza mdau hapo juu alafu mambo kadhaa kama ya mpira tunajiunga na wenzetu akina COSATA kwisha habari yake,hawa wahuni wa EAC tunaachana nao mazima tena raia wao nao warudi makwao na mipaka ilindwe extensively
Ninavyofurahia kuwa mtanzania basi tu bhadungu bhapenzi! Hivi mnaojadili kuachwa na vi cha ngu n do a kama Rwanda,Uganda na Kenya lengo lenu ni nini? Mimi sihitaji hata kunyanyua mguu kwenda kwenye hivyo vijimbo,kwa sasa nawaachia nyie muendelee kujadili mie naenda kwa shemeji yenu.
 
Back
Top Bottom