Jamani Watanzania tumelogwa na aliye tuloga kaisha kufa.Ulimwengu wa sasa hivi unaenda zaidi kiuchumi na si kisiasa.
Ni ulimwengu amboa time is money and whereby you need to make decisions now and not tomorrow.
1: Regarding Railway
Tujilaumu wa Tz kwa ujinga wetu, tunayo Reli yetu, tumeiua wenyewe, Rwanda, Uganda , Congo and Burundi are suffering because of this. There are people within the govt circles ambao hawako tayari kabisa kuona Reli yetu ya kati inafufuka. Hivi mlitaka Rwanda, Uganda wakae wanatusubiri tuu mpaka lini???? Kenya is a country which is run by politicians cum businessmen. Our leaders are purely politicians who are emerging from the era of Socialism and now they want to be capitalist.
Advantage ya wenzetu Kenya ni kwamba viongozi wao they are looking on multiple opportunities which will be available once the rail from Mombasa to Uganda and Rwanda is in operational while our leaders are looking on one opportunity ( Lorries).
LAND
Our politicians are using us kuficha udhaifu wao.
Ukitembea Tanzania kuna mapori ni nani mtanzania mwenzetu anayeweza kwenda kuvamia poli na kujimilikisha????
Kuna utaratibu wa kumilikishwa Ardhi, No Kenyans, Ugandans, Or Rwandese who can come and own our land bila kufuata sheria za Nchi.
We need to be open and agree that our official can be corrupted and sale our land. Land laws are very clear to protect our land.
Tuache kudanganywa na wanasiasa TANZANIA ni nchi ambayo tu wagumu kuchukua maamuzi and hatuwezi lazimisha watu wakae wakitusubili na urasimu wetu.
We need to change from our lazy affair and be aggressive in tackling the available opportunities.To be isolated in EAC is a blow to us, tusijidanganye na wala tusiwakilize wanasiasa.
Bandari zetu Mtwara-(Malawi, Congo, Zambia), Tanga( Rwanda, Kenya, Uganda).. Dar Es (Uganda,Rwanda). Then a good railway network connecting bandari to these countries. Tuone ka shirikisho la Rwanda, Uganda na Kenya litakuwepo.