Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Ukibaki nawezaje kuula Tena?Uwe unasonga wa kukutosha tu ili usibaki Kama unaumia kuutupa
Msasani Maflati, ulizia kwa kina JemimaNipe location nije kuufanyizia kama kweli unamaanisha.
Ugali standard wa mtu mmoja Ni mls ngapi za maji?Heee Sasa wewe upo peke yako huwezi pima maji mpaka unaenda songa li-ugali Kama mpo saba
Haya ngoja nikufundishe hau-uli wenyewe, ila una urudia kuupika unakata vipande vidogo×2 halafu unaweka kwenye sufuria mpaka uchemke baada ya hapo unakoroga uji unachanganya unasubiri uchemke then unaweka unga unasonga tayari ugaliUkibaki nawezaje kuula Tena?
Ndugu Mwalimu Deogratius Kisandu alianza hivi hivi mwisho akajikuta anaandika Facebook " Nataka kuto**a mke wa raisiWeka kwenye mpesa... Hakuna makato
Asante sanaHaya ngoja nikufundishe hau-uli wenyewe, ila una urudia kuupika unakata vipande vidogo×2 halafu unaweka kwenye sufuria mpaka uchemke baada ya hapo unakoroga uji unachanganya unasubiri uchemke then unaweka unga unasonga tayari ugali
*Hakikisha unakata vipande vidogo sana ili yasitokee yale mabuja
Acha na ma ugali, yanapunguza uwezo wa kufikiriNdugu wazalendo wenzangu, amani iwe kwetu sote na kwa familia zetu.
Mara nyingi sisiWatanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.
Ugali hupikwa kwa nafaka mbalimbali, mahindi, ulezi, uwele, mtama, muhogo na kule Mbeya Wanyakyusa hupika ugali wa ndizi.
Jamani mwenzenu naumia Sana nikitupa chakuka, hasa nikitilia maananani Kuna mamilioni ya watu wanalala bila kula.
Naumia nikiwapa mifugo chakula kilichobaki, ndio maana chakula Cha mifugo siwezi kukila, iweje wao wale chakula changu?
Nawauliza wana JamiiForums nifanye Nini na ugali uliobaki jana usiku? Sitaki kuutupa walakuipa mifugo.
Naomba ujuzi na uzoefu wako
Tuhamie kwenye pizza, hamburger, burgers etc sawa mkuuAcha na ma ugali, yanapunguza uwezo wa kufikiri
Safi sanaMimi kiporo changu cha ugali huwa nakila napasha mboga tu.
Halafu naukata na kisu vipande pande kama keki.
Unauchoma kama nyama na wavu, Tena unakuwaga mzuri sana kwa dagaaNdugu wazalendo wenzangu, amani iwe kwetu sote na kwa familia zetu.
Mara nyingi sisiWatanzania hula ugali. Wasukuma hula ugali asubuhi, mchana, usiku na wakati mwingine usiku wa manane huamka na kuusonga Tena ule ulio mgumuuuu.
Ugali hupikwa kwa nafaka mbalimbali, mahindi, ulezi, uwele, mtama, muhogo na kule Mbeya Wanyakyusa hupika ugali wa ndizi.
Jamani mwenzenu naumia Sana nikitupa chakula, hasa nikitilia maananani Kuna mamilioni ya watu wanalala bila kula.
Naumia nikiwapa mifugo chakula kilichobaki, ndio maana chakula Cha mifugo siwezi kukila, iweje wao wale chakula changu?
Nawauliza wana JamiiForums nifanye Nini na ugali uliobaki jana usiku? Sitaki kuutupa walakuipa mifugo.
Naomba ujuzi na uzoefu wako
Much respect to youUnauchoma kama nyama na wavu, Tena unakuwaga mzuri sana kwa dagaa
Watoto wa kishua hawawezi kunielewa kabisaaa
Mungu mkubwa sana mkuu.Ukibaki nawezaje kuula Tena?