Itabidi nipange safari kuja huko, niko kibamba. Wanatuuzia utafikiri ni watalii.ubungo riverside mkuu, kwenye maduka ya mchele......yaani hadi 1600 unapata
Aseee kwel kula ugal ni anasa sahv .hii inatokana na mahindi kugombewa na binadam na mifugo sabb ndo huwa yanatumikaa sanaa kuandaa vyakula vya mifugo kuliko mcheleKufuatia ongezeko kubwa la bei ya unga Jijini Dar es Salaam na labda sehemu zingine za nchi, sasa ni bayana kuwa ni rahisi mtu kumudu kula wali kuliko kula ugali. Kilo ya unga katika baadhi ya mitaa inauzwa hadi Sh. 2,200/= ilhali kilo ya mchele inaweza kupatikana kwa Sh. 2,000/=.
Kufuatia hali hii tujiandae kwa yafuatayo:
-ugali kuwa chakula cha sherehe, harusi na matukio mengine maalumu maana si chakula cha gharama?
-wanafunzi na wafungwa kuanza kutumia wali kama chakula kikuu na ugali kama chakula cha anasa
-nyumba kuu yaani familia kufurahia wali huku michepuko wakigeukia ugali maana si ndio chakula cha anasa?
-wataalamu wa mapishi na lishe watalazimika kubuni pilau ya ugali ili ichukue pahala pa pilau ya wali ambayo sasa si chakula aghali na special tena
-kula ugali kila siku kunaweza kupelekea kuikosa mbingu maana ni kupenda anasa za dunia.
NK
[HASHTAG]#liferealities[/HASHTAG]
Wataandamana sababu wali unakinaishaa sanaaNajaribu kupiga picha nini kitatokea kwa wanafunzi wa shule za bweni watakapotangaziwa "kutokana na kupanda kwa bei ya Sembe chakula cha kila siku kinakuwa wali,ugali inakuwa mara moja kwa wiki siku za weekend au sikukuu "
Dalali hawezi kuuzaUsiwasingizie wakulima, wakulima hawapangi bei kutokana na ubepari uliopo nchini mwetu, wanaopanga bei ni walanguzi,madalali na wafanyabiashara, wakulima wanaburuzwa tu.
Na vilevile kupanda kwa bei, ukiachana na sababu nyingine; kunategemeana sana na kupatikana kwa bidhaa husika sokoni, aidha kwa mazingira/isiyo bahati, au kwa makusudi/kwa kupanga.(Yaani kuipoteza/kuificha/kuiadimisha kwa makusudi bidhaa fulani sokoni kwa madhumuni ya kuipa thamani zaidi.)Dalali hawezi kuuza
debe 1/sh 1200, halafu mkulima auze debe 1/sh 500.
Ni lazma mkulima auze debe 1/sh 1100, na hapo ndipo mlanguzi au dalala naye auze debe 1/sh 1200.
Hivyo mkulima ndiye anayepanga bei.
Daaa poleni sana jamanKufuatia ongezeko kubwa la bei ya unga Jijini Dar es Salaam na labda sehemu zingine za nchi, sasa ni bayana kuwa ni rahisi mtu kumudu kula wali kuliko kula ugali. Kilo ya unga katika baadhi ya mitaa inauzwa hadi Sh. 2,200/= ilhali kilo ya mchele inaweza kupatikana kwa Sh. 2,000/=.
Kufuatia hali hii tujiandae kwa yafuatayo:
-ugali kuwa chakula cha sherehe, harusi na matukio mengine maalumu maana si chakula cha gharama?
-wanafunzi na wafungwa kuanza kutumia wali kama chakula kikuu na ugali kama chakula cha anasa
-nyumba kuu yaani familia kufurahia wali huku michepuko wakigeukia ugali maana si ndio chakula cha anasa?
-wataalamu wa mapishi na lishe watalazimika kubuni pilau ya ugali ili ichukue pahala pa pilau ya wali ambayo sasa si chakula aghali na special tena
-kula ugali kila siku kunaweza kupelekea kuikosa mbingu maana ni kupenda anasa za dunia.
NK
[HASHTAG]#liferealities[/HASHTAG]
Maindi =MahindiWACHA TUKOME,WAUZA MAINDI WALIISHAAMBIWA WAUZE MAINDI KWA BEI WANAYOTAKA NA ANAELALAMIKA KWAMBA MAINDI YAMEPANDA NA YEYE AKALIME SHAMBA LA MAINDI.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] father house nae kazidi ana pua za aina gani mpaka akasikia harufu ya ugaliJana mwenye nyumba aliisikia harufu ya ugali kutoka kwenye chumba changu.
Leo kanilitea notisi ya kupandisha kodi ya chumba. Teh teh teh