Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,383
- 4,998
Kama mtamu kwanini hamuweki kwenye sherehe?Sawa Sawa lakin ugali mtamu wewe
Ni chakula cha mifugo sio chakula cha binadamu, hususani nguruwe na ng'ombeUgali unadumaza akili. sio chakula bora kwa ubongo na ufahamu.
Tafuna mahindi kidogo kwa kupata wanga kiasi na sio utumie unga wa mahindi kama chakula. Tungekuwa hatuli ugali tungekuwa mbali sana!
hasa upate na πSawa Sawa lakin ugali mtamu wewe
Swali zuri sana..Kama mtamu kwanini hamuweki kwenye sherehe?
hata aliyeandika amekula ugali tena wa mahindi tu;Wadau wenzangu wa JF & Watanzania wote
Naandika haya nikiongozwa kwa dhamira nzuri ya kueleza ukweli bila kuwa na nia ya kuwakera baadhi yenu
Sikusudii kupotosha, kukashfu, kudharau historia yetu, au makuzi yetu, au aina fulani ya chakula, kikundi fulani
kwenye jamii yetu n.k
Nazungumza chakula maarufu duniani kinachotokana na mahindi almaarufu Ugali
Nitazungumzia kwa ufupi kuhusu Ugali Chakula ambacho;
Kwa asili hakijawahi kuwa sehemu ya vyakula vinavyote gwa kwenye meza kuu ya Wafalme au Masultani!
Hakijawahi kuwa Maalumu au mahsusi kwa ajili ya wageni
Hakijawahi kuwa Maalumu au Mahsusi hata kwa ajili ya wagonjwa au walio na njaa kali
Ni chakula kinachohusishwa na Utwana au Utumwa au hali ya umasikini
Kimekosa ufahari mbele ya jamii hasa baada ya kukitumia
Kinahusishwa na udumavu wa maendeleo ya taaluma kwa wanaokitumia kwa muda mrefu tofauti na wanaotumia vyakula vinginevyo kama mpunga, ngano, shayiri, mtama, ulezi au hata ndizi n.k
Naomba kuwasilisha
Karibuni kwa mjadala
Aksanteni
Nakala: Paschal Mayala
Uwe siku ukila huo ugali mchana basi Usiku kula vitu laini Ili huo ugali uyeyuke na uondoke kwenye ubongo wako.Ugali ni mtamu sana kutegemea unakula na mboga gani. Mchicha na samaki wa kukaanga, bamia na kuku wa kienyeji wa kuchoma au nyama ya kuchoma. Ugali na dagaa na mboga za majani au bamia. Ugali oyeeeee! Mie naula sana tena naupenda sili ugali for the sake ya kula ugali tu bali naufurahia sana.
Uwe siku ukila huo ugali mchana basi Usiku kula vitu laini Ili huo ugali uyeyuke na uondoke kwenye ubongo wako.