Ugaidi waitesa CCM

Ugaidi waitesa CCM

sasa hivi kuna kamtindo kanafanyika ndani ya JF,kuondoa mada,kwa mfano kuna mada iliyojitokeza ya nani achinje huko Geita wameiondoa japokuwa ilikuwa inatakiwa ichambuliwe,sasa sijui wanaitoa kwa faida ya nani, maana kwa mujibu wa mada,ngombe ameletwa kwenye msiba ikashindikana kuchinjwa kwa sababu waislam walitaka wachinje wao na wakiristo walitaka wachinje wao. sasa badala ya kuweka wazi hali ilivyo,tunaficha mambo, hapo kinachotakiwa ni serikali itoe tamko bila wanga kwamba inapotokea mkusanyiko wa waislam na wakiristo ni nani anatakiwa kuchinja, ukimya wa serikali katika suala hili unaweza kutuchafulia utulivu tulionao

Hakuna issue rahisi kuamua kama hii. WENYE SHUGHULI NDIO WENYE HAKI YA KU-TAKE CONTROL YA SHUGHULI. Kama wenye shughuli ni waislam, ni haki yao kuamua shughuli iendeshejwe na imani nyingine vivyo hivyo. Kama utaona kushiriki baadhi ya vyakula inakukwaza au ni kinyume na imani yako sio lazima ushiriki. Kwani lazima ule msibani au harusini?

Haiingii akilini shughuli ya kipagani eti waislamu wanataka wachinje wao; wala haiwezekani shughuli ya kikristo wapagani ndio wanataka waongoze ibada. Tuache hii mizaha isiyo na tija na ya hatari kwa nchi yetu.
 
kazi ipo mwingulu anataka akatoe ushaidi mbiguni alishafika huko?
 
Mwigulu kwa sasa hata watoto wake watakuwa wanamshangaa. Kituko!
 
Ulikuwa mkakati wa kijinga sana! Kama UWT kweli ndio walisuka uchafu mwepesi vile, nchi hii ina matatizo makubwa mno!!
 
Ndiyo maana mangula kabeba totoz anaponda maraha kabla ya 2015.

CCM wahuni.jpg

Mngula atakuwa alimchukua huyu wa kati!
 
Wakati mwingine kuwa na Papara ni jambo baya sana.Freeman Mbowe na Dr Slaa mafanikio yao yametokana na kutanguliza hekima na busara kabla ya kuamua jambo lolote.
Hekima za Mbowe na slaa ni zipi? Kama hukuelewa aalichosema mh. Zitto uliza au omba ufafanuzi; tatizo umegubikwaa na wingu la chuki dhidi ya Zitto; hekima za Mbowe ni hizi kutia mimba mbunge wa viti maalumu au ya mtu mzima aliyejukuu kuishi na kimada?
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Utaandikwa katika gazeti la uhuru
Kumbe majibu mnayajua mnajitia upimbi
Wa nini kujaza server na kupotezea watu wao? Kama Tanzania Daima linaandika ukweli na litueleze kwa nini Kibanda katolewa jicho!
Chama
Gongo la mboto DsM
 
Hekima za Mbowe na slaa ni zipi? Kama hukuelewa aalichosema mh. Zitto uliza au omba ufafanuzi; tatizo umegubikwaa na wingu la chuki dhidi ya Zitto; hekima za Mbowe ni hizi kutia mimba mbunge wa viti maalumu au ya mtu mzima aliyejukuu kuishi na kimada?
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

Mkuu chama mbona umekuwa mjinga zaidi ya pimbi siku hizi? Mtoto wa kiume kuanza kujadili masuala ya urijali wa mwanaume mwenzako ni dalili mbaya na aibu sana kwa mkeo na watoto kama unao.

Zungumzia issues ili kweli tuone kama wewe si mtumwa wa lumumba project. Hayo mambo ya udaku waachie hao watoto wapya mliowasajili msimu huu...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Mkuu Mwita Maranya
Najua mida hii kinywaji kinaongea; sasa wewe urijali wako ni kuwajibia wanaume wenzako? Kamanda angalia sana watu wanye hekima na busara wanaweza kuhoji kulikoni ni hatari kwa mtoto wa kiume kujilainisha kiasi hicho; slaa ni memmber jamvini mwache afunue kinywa chake kama anaweza; nina hakika unafahamu kashfa yaa ngono inavyotikisa kanisa Katoliki na jinsi mapadri wanavyolawiti watoto wa kiume na slaa ni mmoja wa mapadri; usifikiri kwamba yeye ni malaika ana uchafu wote shauri yako. Naona kila siku zinavyokwenda inadhihirisha ni kiasi gani viongozi wa Chadema walivyojaza vimada kwenye bunge; sasa mkuu hivi ni hekima kwa mwenyekiti kumpiga bao mbunge wa viti maalumu mpaka amjaze mimba?
Chama
Gongo la mboto DSm
CC Ritz, Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Katika dodosadodosa za hapa na pale nimedokezwa kamanda Mohamedi Mtoi anajitahidi sana kuandika ndani ya jukwaa kwa utulivu (pamoja na kwamba ni pumba tupu) anafukuzia kazi Tanzania Daima walau apewe kajisehemu cha kumwaga pumba zake kwenye gazeti; aliyenihabarisha ni mwanahabari aliyebobea kwenye medani hiyo hapo mjini; mkuu habari ndiyo hiyo.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hakuna issue rahisi kuamua kama hii. WENYE SHUGHULI NDIO WENYE HAKI YA KU-TAKE CONTROL YA SHUGHULI. Kama wenye shughuli ni waislam, ni haki yao kuamua shughuli iendeshejwe na imani nyingine vivyo hivyo. Kama utaona kushiriki baadhi ya vyakula inakukwaza au ni kinyume na imani yako sio lazima ushiriki. Kwani lazima ule msibani au harusini?

Haiingii akilini shughuli ya kipagani eti waislamu wanataka wachinje wao; wala haiwezekani shughuli ya kikristo wapagani ndio wanataka waongoze ibada. Tuache hii mizaha isiyo na tija na ya hatari kwa nchi yetu.
mimi nakubaliana na wewe mkuu, maneno hayo ya busara na ya kweli kabisa yanatakiwa yatamkwe na serikali lakini yakisemwa na watu tu,mitaani inaonekana ni mawazo ya mtu tu, kama vile mtu mwingini anaweza kutoa mawazo yake kwamba Wakiristo ndio wanatakiwa wachinje
 
sasa mkuu hivi ni hekima kwa mwenyekiti kumpiga bao mbunge wa viti maalumu mpaka amjaze mimba?
Chama
Gongo la mboto DSm
CC Ritz, Chris Lukosi

Mkuu chama huko kwenu magambani siku hizi mwanamke kupata mimba imekuwa maajabu ya nane ya dunia??? Yani usivyo na uwezo wa kutazama masuala na kuyatafsiri unawashangaa watu wazima kupeana mimba? Hata kama sina uhakika kuwa hao unaowataja wamepeana mimba lakini kwakuwa ni watu wazima na kama ni kweli wala hakuna cha ajabu hapo.

Labda uniambie kuwa hujui mwanamke anapataje mimba, sasa unashangaa wenzako wanawezaje wakati wewe umeshindwa kabisa!!Kama una matatizo ya kushikisha mimba nenda hospitali ukapate tiba badala ya kuja kupiga kelele hapa JF. Na kama unataka msaada hapa JF nenda kwenye jukwaa husika ukawasiliane na Mzizimkavu atakusaidia kutatua matatizo yako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwita Maranya
Najua mida hii kinywaji kinaongea; sasa wewe urijali wako ni kuwajibia wanaume wenzako? Kamanda angalia sana watu wanye hekima na busara wanaweza kuhoji kulikoni ni hatari kwa mtoto wa kiume kujilainisha kiasi hicho; slaa ni memmber jamvini mwache afunue kinywa chake kama anaweza; nina hakika unafahamu kashfa yaa ngono inavyotikisa kanisa Katoliki na jinsi mapadri wanavyolawiti watoto wa kiume na slaa ni mmoja wa mapadri; usifikiri kwamba yeye ni malaika ana uchafu wote shauri yako. Naona kila siku zinavyokwenda inadhihirisha ni kiasi gani viongozi wa Chadema walivyojaza vimada kwenye bunge; sasa mkuu hivi ni hekima kwa mwenyekiti kumpiga bao mbunge wa viti maalumu mpaka amjaze mimba?
Chama
Gongo la mboto DSm
CC Ritz, Chris Lukosi
Ni ajabu sana mtu mzima kuweka mawazo haya hapa.
 
Mwigulu akichiwa aendele na huo ujinga wake atasababisha machofuko nchini.
Ndio namna ya kujimaliza. Mwache ababaike na mbinu za kukopi na kupesti. Wenzake wanatumia "Za Kuzaliwa" kudili na pumba zao.
 
Inasikitisha sana kuona wabunge wa mikoa inayolima pamba mko kimya wakati wakulima wanahujumiwa na mizungu!
 
Back
Top Bottom