Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Nenda kalishitaki mahakamani!!
Na kama utaona mahakama nayo ni ya udaku,peleka mashitaka kwa Kinana!
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Mtoi nakumbuka hiyo kauli yako baada ya ule uzi wa Lwakatare kuwekwa humu. Yametimia!Nami niliwahi kuwaambia kina chama na ZeMarcopolo kuwa "Ukweli huwa una tabia ya kukawia uliko kusudiwa kufika lakini huwa hauachi kufika".
sasa hivi kuna kamtindo kanafanyika ndani ya JF,kuondoa mada,kwa mfano kuna mada iliyojitokeza ya nani achinje huko Geita wameiondoa japokuwa ilikuwa inatakiwa ichambuliwe,sasa sijui wanaitoa kwa faida ya nani, maana kwa mujibu wa mada,ngombe ameletwa kwenye msiba ikashindikana kuchinjwa kwa sababu waislam walitaka wachinje wao na wakiristo walitaka wachinje wao. sasa badala ya kuweka wazi hali ilivyo,tunaficha mambo, hapo kinachotakiwa ni serikali itoe tamko bila wanga kwamba inapotokea mkusanyiko wa waislam na wakiristo ni nani anatakiwa kuchinja, ukimya wa serikali katika suala hili unaweza kutuchafulia utulivu tulionaoNami niliwahi kuwaambia kina chama na ZeMarcopolo kuwa "Ukweli huwa una tabia ya kukawia uliko kusudiwa kufika lakini huwa hauachi kufika".
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
hata hiyo idadi ya copy uliyotaja sio kwamba yameuzwa keshi mezani bali yanatokana na wateja wanaochukua kwa bili na ni baadhi ya ofisi za serikali na kuna wanaccm hawalinunui hatauhuru linalo uza copy 10 Tanzania nzima lenyewe ni la kichunguzi?
Mkuu Mohamedi Mtoi
Kabla hujaposti jenga utamaduni wa kusoma ulichoandika hivi kwa akili yako ukweli unaoihusu CCM utaandikwa Tanzania Daima?
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Wanazuoni walishasema: unaweza kuwadanganya watu wote wakati fulani' lakini huwezi kuwadanganya wote wakati wote
Gazeti la UDAKU Tanzania Daima linafanya hila za kupotosha kuwa Lwax yuko innocent. Ukweli ni kwamba Lwax ana kesi ya kujibu.
Mkuu Mohamedi Mtoi
Kabla hujaposti jenga utamaduni wa kusoma ulichoandika hivi kwa akili yako ukweli unaoihusu CCM utaandikwa Tanzania Daima?
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Gazeti la UDAKU Tanzania Daima linafanya hila za kupotosha kuwa Lwax yuko innocent. Ukweli ni kwamba Lwax ana kesi ya kujibu.
Mbona hamjibu maswali mnayoulizwa?Ana kesi ya kujibu kwa mashtaka yapi?