Ugaidi waitesa CCM

Ugaidi waitesa CCM

Ndiyo maana mangula kabeba totoz anaponda maraha kabla ya 2015.
 
Wanamuogopa mwigulu kwa nn wasimfungulie kesi?
 
Mwigulu amekuwa akihusishwa na mikakati ya kuimaliza CHADEMA, na inasemekana anaungwa mkono na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, ambaye amewahi kumsifia kwa jinsi "anavyoichachafya CHADEMA". Wadadisi wa kisiasa wanasema sifa alizopewa na Rais Kikwete zilichangia kumpatia cheo cha unaibu Katibu Mkuu wa CCM,

"Mkijibu kwa hoja wanatulia, sio Polisi. Nakumbuka Mwigulu aliwajibu pale bungeni kuhusu bajeti yao mbadala. Walipoitoa kijana wetu akasimama na kupiga msumari kweli wakachanganyikiwa sasa hizo ndio kazi zinazotakiwa jamani," alisisitiza Kikwete.

Amelewa sifa za mwenyekiti wake, ila litakapobuma wote watamkimbia na akumbuke pia kwamba ni Kikwete huyo huyo anayemsifia huyo Mwigulu aliwahi kusema;

AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
 
Mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi, gazeti la Tanzania Daima na Mwananchi, ndiyo yaliyotajwa na watazamaji wa Kimataifa kuwa ndiyo yaliyokuwa yakiripoti Taarifa za kampeni kwa uhalisia.

Nadhani ni sababu hizi za msingi ndiyo maana gazeti la Mwananchi na Mtanzania ndiyo yanayoongoza kwa mauzo wakati Uhuru, Habari leo na Daily News yananunuliwa na ofisi za serikali tu ingawa maafisa wa serikali wenyewe hawayasomi.

Acha mzaha, Zaidi ya Uhuru, Daily News, na wambeya wa kubwa TBC?
 
Mbona hamjibu maswali mnayoulizwa?Ana kesi ya kujibu kwa mashtaka yapi?


BBJ ee, hebu mwambie ZeMarcopolo namsubiri kuleee....kwenye ile mada ya TANU ambako anakimbia hoja ya Mtoi.
 
Habari za uhakika nilizonazo nikwamba Mwiguru akishirikiana na katibu mkuu wa ccm aliyepigwa chini Willison Mkama wamejichimbia mahala na vijana wao wataalam wa computer na usalama wa taifa, wanaandaa move mpya dhidi ya CHADEMA wanayo tarajia kuitoa mwisho wa mwezi huu.
Chama cha mapinduzi kimetoa fungu nene la pesa kukamilisha jambo hilo.

sasa kama wanatumia gharama kubwa hivo afu wanasambratishwa na press conference tu! hayo si ndo majanga?
 
Gazeti la UDAKU Tanzania Daima linafanya hila za kupotosha kuwa Lwax yuko innocent. Ukweli ni kwamba Lwax ana kesi ya kujibu.
Kuna umuhimu wa kufundisha basics za sheria kuanzia shule ya msingi. Kubakiwa na shitaka sio kuwa na kesi ya kujibu mpendwa. Ina maana makama sasa itaanza kusikiliza ushahidi wa mashitaka, ikiridhika nao ndio mshitakiwa anakuwa na kesi ya kujibu. Kisha anapewa nafasi ya kujitetea na kupeleka mashahidi kama anao, baada ya mahakama kupima kwa haki ndiyo inatoa hukumu. Sasa hii kitu iko kwenye hatua za awali za kuangalia uhalali wa mashtaka, wengine msharukia ati ana kesi ya kujibu. Kwa style hii ya so called wasomi/watawala sishangai hiyo mikataba mibovu.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu huu ni mwanzo tu bado anguko kuu wa ccm uchaguzi ujao kudhihirisha aibu yake!
 
Tanzania Daima hivi hii ni habari au ni mkusanyiko wa matukio iliyoandikwa kwa mtazamo wa mwandishi. Kesi bado iko mahakamani na DVD itatumika kwahiyo bado Mh Mwigulu anaweza kabisa kuyoa ushahidi ukihitajika. Halikadharika Tanzania Daima mna hakika mmemkariri vyema Mh Chikawe kuwa yeye ndiye msimamizi wa mahakama? Ukiwa msimamizi unakuwa na nguvu au uwezo fulani katika utendaji wake, kwahiyo alikuwa na maana gani kwa kauli hiyo?
 
Migulu ulitakiwa uhangaike na hiki kichwa KITILA MKUMBO, sasa umekimbilia madhabahuni
umekamata ndege mkia umebakia na manyoya! Shame on you Migulu!

images
 
Hivi Zitto anajisikiaje baada ya kesi ya Lwakatare kufutwa coz yeye alishabikia sana kuonyesha kuwa Lwakatare alikuwa na kosa la kuchunguzwa na chama na hata akafikia kusema ajiuzulu nafasi zote za uongozi. Sasa anajisikiaje jamani, hapa si anaongeza kundi la maadui pasipo sababu. Ndiyo maana tunasema Zitto ni mamluki chadema.
 
mkuu wewe na akili zako timamu unatuletea taarifa ambayo chanzo ni tanzania daima du unamoyo!
 
Hivi Zitto anajisikiaje baada ya kesi ya Lwakatare kufutwa coz yeye alishabikia sana kuonyesha kuwa Lwakatare alikuwa na kosa la kuchunguzwa na chama na hata akafikia kusema ajiuzulu nafasi zote za uongozi. Sasa anajisikiaje jamani, hapa si anaongeza kundi la maadui pasipo sababu. Ndiyo maana tunasema Zitto ni mamluki chadema.

Wakati mwingine kuwa na Papara ni jambo baya sana.Freeman Mbowe na Dr Slaa mafanikio yao yametokana na kutanguliza hekima na busara kabla ya kuamua jambo lolote.
 
uhuru linalo uza copy 10 Tanzania nzima lenyewe ni la kichunguzi?

Umesema nakala kumi nikakumbuka siku moja nipo Kahama nafatilia magazeti, mtu kaja kuulizia gazeti la HARARI LEO kwenye kibanda cha magazeti. Akaambiwa limeisha. Jamaa kakomaa mbona magazeti yameshuka sasa hivi sijaona unamuuzia mtu? Muuza magazeti kamwambia mnunuzi kuwa napata nakala mbili tu, moja ya DC na nyingine ya katibu tawala maana wakileta hata nakala kumi hazitoki. Watu wakashangaa yaani gazeti la serikali nakala mbili wilaya nzima?!
 
Ndio maana Tanzania umasikini hautakwisha na kupata maendeleo sio leo, jamaa ana first class ya uchumi badala ya kutumia professional yake kusaidia taifa lijikwamue yuko busy na siasa za maji taka. Hajiulizi vijana wenye elimu kama yake nchi kama za ulaya wanafanya nini? Kweli sio kila aliyepita shule na kuhitimu ameelimika!!!
 
Back
Top Bottom