MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,786
- 3,130
... Hisia zangu pia zinanifanya niamini hivyo. Kwamba bado wako humo ndani mpaka leo na bado wanaendelea kuua. Aaargh! Inaumiza kichwa kwakeli.Ninachohisi hao watekaji wanaweza kujilipua kwa bomu, mara watakapoona vikosi vya Wanausalama vimewasogelea zaidi. Hao ni vijana wa kujitoa mhanga.