Ugaidi katika utamaduni wa binadamu

Ugaidi katika utamaduni wa binadamu

Ndiyo maana nikasema mapema najua anakoelekea lakini akasema mimi namlisha maneno.
Lakini wewe mwenyewe umehakikisha kawazungumzia wale wale wanefili na malaika waasi ambao wapo kwenye kitabu cha Enoch. Sikutaka kuyazungumzia sana haya mambo kwasababu nimeogopa yatawachanganya kabisa watu wasiyoyajua kwasababu mimi nimezungumzia mada katika muktadha wa kisiasa na Kisheria lakini ulimwengu wa roho nikauacha kabisa.
Lakini ndugu yangu kanivaa kana kwamba haya mambo sina ufahamu nayo, kwa bahati mbaya Theolojia ndiyo naisoma kipindi hiki. Nimesikitika kwasababu tumewatoa watu wasiokuwa wanajua kitu kwenye mstari na kuwachanganyia madesa kabisa.
PITA HUKU,
KUNA conspiracy, Mambo ya kiroho, Mambo ya kiuchumi, kisiasa na kivita. Lakini jamaa amekuwa biased kwenye kona moja ambayo inadestroy concept ya mada.
Hapa kazi ipo
WW1, WW2 na kinachoendelea Sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli
 
Mkuu wangu Eiyer nashukuru sana,
Lakini haya nimeyasoma yote sana na zaidi wakati nasoma Theolojia,
Kama umesoma haya yote yanazungumzwa kwenye Kitabu cha Mwanzo 1: 1-3,
Kwa kifupi haya mambo yote kitaalamu yainaitwa The Gap Theory ambayo huwa inatafuta sana kuziba mianya ambayo imo ndani ya Biblia. Hivyo wasomi wengi wa dini wametumia historia hasahasa mwanahistoria ambaye anaaminika na wanadini wengi ni Falavius Josephus ambaye alikuwa Mrumi mwenye asili ya kiyahudi.

Mambo mengine ya kina Lilith (The First Eve Theory), Golem hadi kufika kwa Mekeda,
Yapo kwenye mafundisho ya Talmud ambayo kwa bahati mbaya sana Mtume Paulo aliyakataza kwa wakristo.
Hata Biblia unayoisoma wewe leo haijakamilika hasahasa agano la kale.
Kwa mfano hadi Mtume Luka anakufa alikuwa ameandika vitabu vitatu lakini leo tunasoma tu vitabu vyake viwili vya Injili ya Luka pamoja na Matendo ya mitume. Hivyo yote haya nayaelewa vizuri sana kwasababu kwenye Theolojia mbali na kusoma Talmud kama ulivyoileta hapa, sisi tunapitia karibia dini zote ambazo wewe unazifahamu.

Lakini ambacho wewe umekuwa mgumu kuelewa muktadha wa mada,
Mimi hii mada nimeizungumzia kwa upande wa taaluma kuu au (Mainstream Education)
Na wala haimaanishi sijui nani yuko nyuma ya haya mambo au kwamba nakataa uwepo wake,
Lakini kwa kifupi tu leo nazungumzia Ugaidi unavyofahamika katika taaluma ya kisiasa, kiuchumi na Kisheria.
Hivyo nilitegemea haya ungeyang'amua tangu mwanzoni kwasababu mpaka sasa hivi nina uhakika tutakuwa tumewachanganya wengi wasiyokuwa na uelewa au wenye uelewa mdogo kuhusu mambo ya kiroho.
Hivyo nashauri tena tubaki kwenye mada hii kuu na kama hautaweza mimi na ndugu MSEZA MKULU tunaweza kuanzisha mada ambayo inazungumzia Ulimwengu wetu na ule wa kiroho. Ambapo tunaweza kuzungumzia haya mambo tu bila kuwachanganya watu
Sawa mkuu nimekusoma ngoja tuache watu wasome na wachangie tusiwachanganye.....
 
Mkuu hebu nimekuandikia PM.
Jf ni burudani na maarifa tosha wala hamjatupoteza sana kuna kitu tunakipata, niwaombe muanzishe mada ya " ulimwengu wetu na ulimwengu wa kiroho" iwe mada endelevu tupate maarifa hayo huko ili msikwazike mnapoanzisha mada zenu naamini hata kama amewatoa ktk mada kuna vitu tumepata vya tofauti sana.
 
Mkuu,
From what i see i that you have read too much of The Book of Enoch hence you have a hard time processing the reality.
I understand that you are speaking about The Watchers/The fallen angels/The Nephilim/ B'nai Elohim.
But i am sorry for you that you believe that they own and run this world and humanity is doomed to extinction.
And worse enough you believe that human beings since the dawn of time have been slave of the supernatural.
Henceforth before the fall of man Adam and Eve were slaves of The Almighty God (Elohim, Yahweh, Jehovah); and after the fall they were bound to the servitude of The Devil (Lucifer, The fallen, Prince of lies) and his legions of demons.
I don't mean to be rude but this type of thinking is very lame.

At first this very thinking undermines the basic foundation of Free Will and henceforth it is a direct insult against God.
Secondly, your inclination asserts that there won't be a judgement day because human actions are controlled by demons.
Here you mean that even if we commit sin, its never our fault.
Thirdly, your inclination insults the Bible and undermines the basic principles you once believed in. Jesus said "I will set thee free, and thou shalt be free indeed" . Yet you say there is no freedom in God.

Yote tisa, hii mada ni ya siku nyingine.
Lakini kwa sasa tujikite kwenye Ugaidi ambao unaonekana kwa macho.
Tumia kiswahili tafadhari hamna wazungu humu
 
Duuh watu mnajua..huyu mkuu Lumumba toka muda namwelewa sana

HV vitabu sijui mnasomaje aisee mpk mambo yanakaa kichwan mda wote mpk majina ya watu??

My b coz napenda number
 
Tunayaangalia mambo haya kwa namna tofauiti sana tena sana......

Yote hapo kwangu mim i hayana uhalisia kabisa,yaani hayo yote ni mambo ya kupanga tu....

Kama kuna ugaidi basi ni ugaid wa namna moja tu ambao ni ugaidi wa kuwafanya wengine wakubaliane na kile ambacho hybrid human wameandaa kwaajili ya ulimwengu ujao.....

Namna ya kuwafanya watu wa kawaida wakubaliane nao ni kutengeneza matukio kama haya ambayo wewe umeyasiulia hapo juu,yaani waone ni reaity ili wakileta suluhu mkubali tu.....
Afadhali umeniwakilisha mkuu
Ubarikiwe

Huwa naona ni kama Habari zisizo za lazima kujua

Na hazitakuja kwisha, hivyo zinachosha.

Mtu unalazimishwa kuwa shilawadu wa maisha ya Watu na kuona ni Elimu.Ni Upuuzi
 
Muendelezo ndo ukafia njiani, so sad hawa jamaa hawaandiki tena haya maujuzi.
 
Back
Top Bottom