Ufuta ufuta

Ufuta ufuta

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
30
Ndugu habari,
Nna ufuta tani 2 natafuta soko wakuu,nilipokuwa nauza price imeshuka sana nw ninao tu store!upo magomeni mwenye kujua soko au kuhitaji tuwasiliane kwa 0712720080.
Shukrani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Na huko stoo panya na wadudu waharibifu wanazidi kuushusha bei zaidi! Ujasiliamali ni shidaaa!
 
Boss nautafuta huo ufuta lakini nataka ufuta mweupe
 
Back
Top Bottom